Natengeneza Programming Language yangu

Natengeneza Programming Language yangu

Hackboy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
139
Reaction score
245
Napenda kutengeneza video games, nilijifunza teknolojia mbali mbali ili niweze kutengeneza video games zangu mwenyewe.

Kwanza kabisa nilikuwa tayari nishajua programming languages ambazo zinatumika kutengeneza video games kama C++, C#, Java, Python na Javascript. Pia nlikuwa najua kuchora 2D kwa kutumia software kama Adobe Illustrator na Photoshop. Lakini nilikuwa sijui kuchora katika 3D. Nikajifunza kuchora 3D kwa kutumia Blender.

Ndipo nikaanza kujifunza kutumia Software mbali mbali zakutengeneza video games, zinaitwa Game Engines. Nikajifunza Unity Engine, Unreal Engine CryEngine, Game Maker na Construct 2. Nilitengeneza games nyingi sana. Lakini zote hazikukamilika zikaishia kuwa kama demos. Nikaja kugundua ni kwa sababu nilitaka kuweka vitu vingi.

Pia kuna vitu nlikuwa naitaji kuweka kwenye games lakini inashindikana kutokana na limitations za izo Game Engines. Nikagundua makampuni makubwa wanatumia Game Engines na Programming Languages walizotengeneza wao wenyewe.

Na mimi nikaanza kufanya uchunguzi namna gani naweza tengeneza Game Engine na Programming Language zangu.

Nikaanza kujaribu kutengeneza a tool for User Interface. Ikawa natengeneza a full Web App bila kuandika any HTML code, yani natumia Javascript mwanzo mwisho. Badae pia nikaanza kutengeneza Android App bila kuandika XML, yani natumia Java mwanzo mwisho.

Kwenye kila platform nikaitengenezea framework yake, Ndipo nikazipa uwezo wakuchora 2D kwenye Web nikatumia Javascript, kwenye Android nilitumia C++ badae nikaiacha nikatumia Java, kwenye Windows PC nilitumia Javascript .NET nikaiacha nikaja kutumia C# .NET nayo nikaiacha nikatumia C++.

Ndio nikaanza kuzitengenezea Programming Language moja ambayo inaweza tengeneza game au app for all Web, Android na PC kwa kuandika code mara moja.

Nika ziunganisha teknolojia izo zote kwa pamoja katika tool niliyoipa jina la Hyperbox Engine. Natarajia kuikamilisha sio mda. Nitaiweka open source. Kila mtu ataweza kuitumia.

Kwa leo nimepost mwonekano wa Programming Language yangu, so mnaweza changia chochote. Syntax zake zinaonekanaje?

Untitled3.jpg
Untitled4.jpg
 
Jaribu kuipeleka jukwaa la tech tukaliongelee vizuri huko
 
Hongera mkuu jitahidi ufike level za kina gameloft,rook star,konami,ovideu+++
 
Sent using Samsung A50
Itabidi tuandae pia namna ma developers wa East Africa tujitolee tufanye kazi pamoja adi tufikie level za mbele kwa haraka zaidi
 
kama itakua ni open source,poa sana.

sema maandishi kwenye picha ni madogo kwangu...sijaona fresh.
 
Hongera sana mzee naomba hiyo game ikikamilika nitag na mm nilifurahie.
 
Napenda kutengeneza video games, nilijifunza teknolojia mbali mbali ili niweze kutengeneza video games zangu mwenyewe.

Kwanza kabisa nilikuwa tayari nishajua programming languages ambazo zinatumika kutengeneza video games kama C++, C#, Java, Python na Javascript. Pia nlikuwa najua kuchora 2D kwa kutumia software kama Adobe Illustrator na Photoshop. Lakini nilikuwa sijui kuchora katika 3D. Nikajifunza kuchora 3D kwa kutumia Blender.

Ndipo nikaanza kujifunza kutumia Software mbali mbali zakutengeneza video games, zinaitwa Game Engines. Nikajifunza Unity Engine, Unreal Engine CryEngine, Game Maker na Construct 2. Nilitengeneza games nyingi sana. Lakini zote hazikukamilika zikaishia kuwa kama demos. Nikaja kugundua ni kwa sababu nilitaka kuweka vitu vingi.

Pia kuna vitu nlikuwa naitaji kuweka kwenye games lakini inashindikana kutokana na limitations za izo Game Engines. Nikagundua makampuni makubwa wanatumia Game Engines na Programming Languages walizotengeneza wao wenyewe.

Na mimi nikaanza kufanya uchunguzi namna gani naweza tengeneza Game Engine na Programming Language zangu.

Nikaanza kujaribu kutengeneza a tool for User Interface. Ikawa natengeneza a full Web App bila kuandika any HTML code, yani natumia Javascript mwanzo mwisho. Badae pia nikaanza kutengeneza Android App bila kuandika XML, yani natumia Java mwanzo mwisho.

Kwenye kila platform nikaitengenezea framework yake, Ndipo nikazipa uwezo wakuchora 2D kwenye Web nikatumia Javascript, kwenye Android nilitumia C++ badae nikaiacha nikatumia Java, kwenye Windows PC nilitumia Javascript .NET nikaiacha nikaja kutumia C# .NET nayo nikaiacha nikatumia C++.

Ndio nikaanza kuzitengenezea Programming Language moja ambayo inaweza tengeneza game au app for all Web, Android na PC kwa kuandika code mara moja.

Nika ziunganisha teknolojia izo zote kwa pamoja katika tool niliyoipa jina la Hyperbox Engine. Natarajia kuikamilisha sio mda. Nitaiweka open source. Kila mtu ataweza kuitumia.

Kwa leo nimepost mwonekano wa Programming Language yangu, so mnaweza changia chochote. Syntax zake zinaonekanaje?

View attachment 1447401View attachment 1447405
Interesting.......

does your language run upon interpretation or compilation??
 
Ni hatua nzuri mjomba, hongera sana na mimi natamani sana kutengeneza games ila sijui ninaanzaje japo nina knowledge nzuri ya programming.
 
Back
Top Bottom