Apolo The Great
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 249
- 194
Niko UDOM mwaka wa kwanza,nachukua degree ya fizikia,ninapenda mambo ya utafiti na ugunduzi wa sayansi.
Kwa sasa nina mpango wa kutengeneza ndege itakayoweza kupaa,na pia nimewahi kutengeneza FM transmitter na ikafanya kazi umbali wa mita 200 nusu kipenyo.
Nipeni ushauri watanzani wenzangu maana nina malengo na projects nyingi za kisayansi.
Safi sana Apolo the Great;hayo ndo mambo bwana,aisee ningekuwa nina uwezo ningemshawishi Waziri wa Sayansi na Teknolojia akupe nafasi ya kwenda nje ya nchi ambako teknolojia hiyo imekuwa ktk hali ya juu ili kukuza kipaji chako.maana Bongo hapa uwezo mdogo.
Niko UDOM mwaka wa kwanza,nachukua degree ya fizikia,ninapenda mambo ya utafiti na ugunduzi wa sayansi.
Kwa sasa nina mpango wa kutengeneza ndege itakayoweza kupaa,na pia nimewahi kutengeneza FM transmitter na ikafanya kazi umbali wa mita 200 nusu kipenyo.
Nipeni ushauri watanzani wenzangu maana nina malengo na projects nyingi za kisayansi.
Niko UDOM mwaka wa kwanza,nachukua degree ya fizikia,ninapenda mambo ya utafiti na ugunduzi wa sayansi.
Kwa sasa nina mpango wa kutengeneza ndege itakayoweza kupaa,na pia nimewahi kutengeneza FM transmitter na ikafanya kazi umbali wa mita 200 nusu kipenyo.
Nipeni ushauri watanzani wenzangu maana nina malengo na projects nyingi za kisayansi.
unaonaje ukachukua utaalam wa ungo ili uweze kutengeneza ndege isiyotumia mafuta?