Alex khalifa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2025
- 282
- 512
Assalam ALLAYKUM ndugu ZANGU waislamu, Tumsifu yesu kristo ndugu zangu wa kristo, Niaje makamanda ndugu zangu wapagani.
Sihitaji ushauri Nisha Fanya maamuzi, nguvu isio onekana imenambia kijana Fanya jambo, nami nimeona nitii amri huenda ni malaika wa mungu,
Nilipata elimu yangu geita, Mwanza, musoma mara, Dodoma, Zanzibar.
Sina elimu kubwa kivile, Nina elimu ndogo sana lakini Nina mengi ya kufanya Sina chama kwa sasa ila Sito thubutu kujiunga na ccm maisha yangu yote labda waombe radhi kwa kadhia iliojitokeza ndo uungwana, uungwana ni vitendo,
tutatumia nguvu kwa watu ila itafika hatua bingwa wa mabingwa mfalme wa dunia jabali asie na mbabe ataingilia kati hapo Kuna upande utadharirika, sijui ni upi ila tutaaibika nawaambia tutubu mungu ni mwingi wa msamaha atatusamehe yeye ndo mfalme amini nawaambia tutasamehewa, wakina omari as kwenye hadithi za mtume walikua magaidi hasa ila mungu alisamehe na wakaanza maisha mapya unamuua mwenzako alafu kesho nawe utakufa asa ndo nini? Tusifanye hivo bhana si ni washikaji sisi ni wana tunakutana viwanjani kwenye mabar tunagonga cheers sa kuuana tena sio mpango, unyama tuliofanyiana sio poa na amini mungu atatusamehe kama yeye mwenyewe alivo dai tuseme amina na waislamu tuseme inshaallah.
namheshimu raisi wangu aliepo madarakani na wengine ila sikufurahishwa na mambo yaliyotokea hivi karibuni, namheshimu mzee wangu jakaya kikwete nampenda sana ni miongono mwa watu walionivutia sana kwa kipindi hicho akiwa yeye na mzee wangu mwakiyembe heshima kwenu.
Nisiwachoshe sana kwa haraka Imani yangu ya kidini ni muislamu haswa kwa mama yangu alie nilea ndo dini yake na baba ni mroman catholic haswa na hajabadili dini mpaka Leo hivo kiimani ni zao la pande mbili ukristo na uislamu, nilipo sikia mambo ya kukatana vichwa nilidhani sheikh kamanisha kukata kichwa wa kristo akimanisha na mzee wangu, NILI sikitika nikajisemea pindi watapo anzisha hiyo operation basi wajipange haswa mana Kuna waislamu wenzao itabidi wapambane nao kwanza nikiwemo Mimi mwenyewe siwezi kubaliana baba yangu aumizwe kwa kosa ambalo kisheria halipo, tena anaumizwa na mtu asie polisi, usalama wa taifa, mwanajeshi Yani ni mtu TU kashiba wali analeta taharuki hivi hajui kuwa Kuna polisi wakristo, wanajeshi na usalama wa kristo, watumishi wa mahakama nk? Na sisi tulio zaliwa na wazazi dini mbili tofauti? nao watakubali ndugu zao wakatwe vichwa na mtu tu, kisa kapewa maelekezo, wallahi naapia pata chimbika hapo kwenye dini pagumu, tena sana.
Kuna haja serikali yetu ianzishe utaratibu, kuhusu press conference inabidi kabla huja ita waandishi wa habari uwe na kibali toka serikalini na polisi imejiridhisha unachotaka kuongea na umekilipia otherwise atakuja kichaa siku MOJA kutuchonganisha na mataifa ya nje, hio vita tutashituka IPO mlangoni dunia ya Leo ni ndogo sana kwenye suala la technogy ni issue ndogo sana watu wanapata taarifa emu fikiria kuhusu satellite Kuna mtu aliamini satellite inaweza mchomesha mtu?
Nikiwa raisi tahakikisha press Ina kuwa na heshima yake maana Leo hii Kila mtu TU anaita press ni hatari kwa dunia hii ya Leo taarifa Zina safiri kwa sekunde TU, hatari sana
🫵🫵🫵🫵🫵Nipeni kura zenu2040🔥🔥🔥🏆🏆🏆❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏.
C.I.A PRIVATE KACHERO