Asante mkuu,ila binafsi ninavyoamini kuokoka kwa mwanadamu aliye hai hilo halipo na haliwezekani mkuu,
Kuokoka-maana yake kupona au kufanikiwa kukwepa kitu fulani.
Sasa mtu akiwa hai anajihesabu vipi amepona wakati bado anaendelea kuishi?
Hahahaha mkuu tuishie hapo kwangu mwokozi pekee wa maisha yangu NI MUNGU MMOJA PEKEE ASIYEKUWA NA MSHIRIKA AMBAYE HAKUZAA WALA HAKUZALIWA NA HANA AFANANACHO NACHO.Baaaaaaasi.
Usiku mwema