mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Asante bhana ila kwa mashetani sina accessPoa! mkuu nisalimie chama chenu cha mashetati Chadema.
Oooohhhhh kwa yesu tena mkuu?mi naokoka humu jukwaani mkuu yaani nakuwa mtu mwema sio IMANI yangu,Yesu abakie kuwa yesu haina shida mkuu.Ila asante pia kwa uungwana.Umefanya nim'kumbuke Bishop Jangalason na vibao vya dungwa sindano,Kanyumba kadogo,"Ukila nyama ya mbuzi lazima uolewe tu"
"Ukimkiri Yesu kwa kinywa kuwa ni bwana,
Nakuamini kwamba alikufa nakufufuka,
Yakwamba ni mwana wa Mungu Utaokoka"
Mh kazi ipo aisee
Mkuu umeongea kweli sana aisee ila nimeomba pia kuungwa mkono nisifanyiwe kama ambavyo nimeahidi kutofanya.Hakika nitasimamia dhamira yangu.Mabadiliko yanaanza na mm na ww.Tuunganehahaaa mtoa mada nakuchora tu maana ku handle pressure ya wana jf wachokoz ni kazi sana, humu kuna watu wapo kuchokoza chokoza watu wenye misimamo kama hio, naona kwa mbali ukishndwa uvumilivu ukakana uwokovu ukaanza ku hit back matusi na kejeli.
Wadau tuendelee kumchokoza tujue kweli kaokoka au kaokoka kwenye uzi.
WHEN MORE PRESSURE IS APPLIED, THE CHARACTER WILL BE REVIELD.
Jangalason alikuwa anatia kumbukumbu tu.Oooohhhhh kwa yesu tena mkuu?mi naokoka humu jukwaani mkuu yaani nakuwa mtu mwema sio IMANI yangu,Yesu abakie kuwa yesu haina shida mkuu.Ila asante pia kwa uungwana.
Nami natamani ila kuna sehemu huwa Nabaki njia panda ,Wapi pa kweli? Baadhi ya makatazo ya kilokole Ktk Bibilia Takatifu/Nukuu siyo kweli.Na usanii wa sasa wa walokole na Wachungaji.Kuokoka ni maamuzi magumu na ambayo hayahitaji mjadala na wanadamu, fanya unavyoitwa moyoni, usisikie wala kumwamini mtu.
Hahahaha mkuu hata ladha ya tone lake sijui aisee.Wokovu huu utahusiana na maeneo mbalimbali ndani ya JF huku mtaani itakuwa SEASON 2kwa hiyo chama letu la wanywaji wa bia ndio basi tena, yaani bia sinashuka bei wewe ndio unaokoka
Mkuu Karibu jukwaa la WAKUBWA!Habari za jioni wapendwa katika bwana,
Sawa na mada tajwa hapo juu,imefika muda sasa nafikiria KUOKOKA yaani kuwa mtu wa tofauti na nilivyokuwa hapo awali.
Nimejifunza mengi sana kwa kuwemo humu JF tangu nilipokuwa natembelea Forums kama mgeni mpaka nilipojiunga rasmi,kiukweli kuna mengi nimejifunza mazuri na mabaya na bado pia naendelea na nitaendelea kujifunza.
Nina mpango wa KUOKOKA kwa kuacha yale yote ambayo kwa namna moja ama nyingine yaweza kuwa yanawakwaza wengine kama vile
Matusi
Lugha chafu
Majibu ya mkato yenye kukwaza
Kejeli n.k
Pia ninatarajia siku ya huo wokovu kuacha kuchangia wala kusoma thread za siasa hasa za wana LUMUMBA a.k.a Wasaka vyeo ambao kwa hakika huwa ni watu wanaoniumiza roho yangu maana wao huona poa tu hata pale yanapofanyika yale ambayo ni kinyume na utu na mazoea yetu sie watanzania ila wao hukenua meno na kushangilia.
Tafadhali naomba msaada wenu katika kukamilisha huu wokovu wangu basi niunge mkono kwa KUTONIKWAZA kwa kufanya yale ambayo nimeahidi kutowafanyia nyie wenzangu.
Wenyeji katika majukwaa ya
Biashara,uchumi na ujasiriamali
Kilimo,ufugaji na uvuvi
Mchezo na burudani
Na mengineyo yasiyo na mfungamano wa kisiasa naombeni mnipokee nitakuwa nikilala huko ili nipate SITI YA KUDUMU kama wale ndugu zangu wanaolala kwenye Ule UZI WA KUPEANA LIKES.
Nawatakieni usiku mwema na Poleni kwa Starehe ndugu zangu.
Sincerely,Bachelor Sugu.
Hilo jukwaa nalisikia tu mkuu hv ndo lipi hilo?Mkuu Karibu jukwaa la WAKUBWA!
Asante sana mkuu tuwe pamoja katika mabadiliko haya.I appreciate brotherHongera chief hilo ni jambo Zuri ulilo amua
Mwenyekiti Ambiele Kiviele hebu tumpokee kondoo mpya!Tuma msg kwa mode then atakuungalisha !Hilo jukwaa nalisikia tu mkuu hv ndo lipi hilo?
Poa mkuu nitafanya hivyoMwenyekiti Ambiele Kiviele hebu tumpokee kondoo mpya!Tuma msg kwa mode then atakuungalisha !
ππ sawa mkuuMkuu swali hili niulize January mosi panapo majaaliwa nitakuwa na jibu sahihi.
Asante mkuu,ila binafsi ninavyoamini kuokoka kwa mwanadamu aliye hai hilo halipo na haliwezekani mkuu,Hongera boss, ila unaweza kuacha hayo yote lakini ukawa bado hujaokoka mpaka utakapokiri kuwa Yesu ni Bwana na mwokozi wa maisha yako, na kuzishika na kuziishi amri kumi za Mungu, bila kusahau amri kuu kuliko zote, nayo ni upendo.