Natarajia kuoa, mambo ya msingi ni yapi.

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
wakuu natarajia kutia ndani mahabuba.

Yapi ya msingi ya kufanya usiku baada ya sherehe ukumbini na siku ya kwanza ya kuishi kama mume na mke.

Naomba unipe experience yako na ushauri wa nini cha kufanya.
 
1.Ni muda wako wa kuanza kuwa mume. Kifupi ni kwamba mmeanza serikali yenu..kwa hiyo heshimuni katiba mliyojiwekea.
2. Natumaini mlishapanga mambo ya msingi na jinsi mtakavyoitumikia taasisi yenu. Au kama hamjapanga na ndio unategemea mkapange honeymoon..mmh hatari hapo.
3. Muishi nyie kama nyie. Mambo ya 'dada kasema, mjomba katuambia, mama anataka', yasipewe nafasi kwenu.
 
Mkuu rafikimkweli, swali lako linaweza kuleta majibu yasiyotarajiwa hasa ukizingatia kuna aina nyingi za ndoa, zinapofungiwa, na nini kilisabanishwa zifungwe, hivyo majibu kutegeneana sana sababu hizo.

Lakini, ninachoweza kusema siku moja baada ya harusi, yaani katika fungate(Honeymoon) si kuanza kuwa busy na mawasiliano ya nje (na watu wengine), mfano simu(Sms, calls, emails), laptops(emails, mipango ya kikazi) n.k.

Anyway, wakuu wengine wataongezea mengine, ongea na mods wafanye kitu hii kuwa STICKY.
 
Last edited by a moderator:
Nikushukuru kwa busara zako, serikali mpya bila ya my mom, aisee, ngumu kumeza inabidi wife ampe kidogo nafasi na bi mkubwa maana she played a very big role kwenye makuzi yangu..
 
kwahiyo mkuu straight to bed hakuna la ziada??

Usiku wa kwanza wa ndoa unataka ufanye nini?Yaani hata ndoa hujaizindua unaanza kujifanya bwana mipango???Kwanza atakuwa anajua mengi kuhusu future yako ndio mana munatakiwa kujuana kwa mengi kabla ya ndoa kufikiriwa.
 
sawa mkuu nilipenda kupata experience yako kidogo , ili niokoteze machache for future use kwa yale ambayo yangenivutia
 
Nikushukuru kwa busara zako, serikali mpya bila ya my mom, aisee, ngumu kumeza inabidi wife ampe kidogo nafasi na bi mkubwa maana she played a very big role kwenye makuzi yangu..

Mkuu hapo ndio tatizo litakapoanza in no time. Hata nchi zilizosaidia uhuru kwenye mataifa mengine haziingilii kuendesha serikali zilizopo huko. Well that's all i can say. May God be with you.
 
Mkuu hapo ndio tatizo litakapoanza in no time. Hata nchi zilizosaidia uhuru kwenye mataifa mengine haziingilii kuendesha serikali zilizopo huko. Well that's all i can say. May God be with you.
nitawezaje kubalance hawa watu wawili muhimu kwangu ili nisije zua mtafaruku maana wote nawahitaji
 
nitawezaje kubalance hawa watu wawili muhimu kwangu ili nisije zua mtafaruku maana wote nawahitaji

Mkuu mpende mama, mjali sana ila abaki kuwa mama . Ila nyumbani kwako wewe na mkeo ndio mama. Well ukihitaji ushauri wake, then ukaenda nao nyumbani na ukathubutu kusema..'mama kasema'..98% ya kuwa mume utakuwa umeipoteza. Wake hawapendi kuona waume wao wanashikiwa maamuzi.

Hata hivyo kwa jambo lolote mshirikishane, na kama itahitajika busara za mama mridhie wote. Vinginevyo pata picha yeye aje na sera za mama yake, na wewe uje na za mama yako..patakalika hapo?
 
baada ya sherehe yafaa kumshukuru Mungu kwa ajili ya uumbaji wake, then mengine yatafuata
 
busara nyingi m.e.m.a, and so how is the experience in the first night of marriage after all the invitees have gone and you are all alone with your wife/hubby..
 
Kwakuwa ndoa itakuwa bado changa huenda mwenza wako akawa na ham sana ya mambo yakikubwa! Kwahiyo uwe tayari kuamka hata ucku wa mwingi kutoa huduma!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…