sakwano
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 303
- 830
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada,..miezi kadhaa iliyopita wakt nikiwa katika harakti zangu za utafutaji wa ugali ..nilijikuta niko mkoani ambako nilipanga chumba kwa kuzingatia siku ambazo nitaishi hapo ...kutokana na kwamba dili nililolifuata lilihitaji kutiki zaidi ya miezi miwili.
Baada ya kuzoea kidogo kuishi katika hiki Kijiji nilifanikiwa kupata marafiki kadhaa,ambao mda mwingi nilitumia kuwa nao.
Siku moja ya jumamosi rafiki yangu mmoja alinicheki nakunitaarifu kuwa twende tukatembee maeneo ya chuo,huko chuo kuna mechi ya kirafik baina ya wanachuo na wanakijiji ..bila kusita niliikubali ombi la jamaa ikiwa ni sehemu ya kwenda kupoteza mawazo...,basi bwana tulivofika uwanjani tulikuta uwanja ukiwa umejaa sana na shamlashamla za kutosha ama kwa hikaka ilikuwa ni siku ya furaha sna kwa kila mwanachuo niliemuona pale.
Katika kupepesa macho nilijikuta nakutanisha macho na mrembo mkali sna aliekuwa amevalia jezi na skret ambayo kwa harakaharaka ilikuwa ni skert ya sare za shule ...moyo wangu ulivotiwa kwa kila roundi ninayogeuka kukutanisha macho na yule mrembo ...haka kabinti ni kamodo,kana rangi ya chocolate,kana macho mazuri sana..cha mwisho kilichonivutia ni kifua chake ambacho macho yangu yaliweza kuona zilivyo chuchu zilivochongoka kama msumali katika jezi ile nyepesi kwa sbb hakuvaa blaa..
Kufupisha tu stry nilitumia ubaharia wangu wote kuipata namba yake ya simu...tumekuwa na mahusiano ya kuchta mda wote ...na nimevumilia mpka leo binti anafunga chuo...
Ubikra wa huyu binti ni baada ya kunihakikishia kuwa hajawahi kuguswa na mwanaume yyt...asilimia nyingi zinaonesha ni kweli kabinti ni bado bikra ..ila mimi nimebet wakuu hapa nishatuma nauli na nasubilia muda ufike wa usiku nikamsubilie kituo kikukuu cha mabasi...nitakaa nae wiki ndio atarudi kwao ...kikubwa Dua zenu wakuu sbb ni mtoto mkali sna niko tyr kuishi nae kwa lolote litakalo tokea...nitawapa mrejesho kwa kila hatua