Natangaza rasmi ndoa na janeth1

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
7,955
Reaction score
7,112
Last edited by a moderator:
Aririririririiiiiii!!!! Mwali kakuaaaaa!!
 
Unahisi ni ndoa ya mkeka..???
Mie nimefurahi sijala biriani la harusi siku nyingi

Dada naskia vigelegele nina raha hapa, kaskala siendi tena kula
 
Nini kinaendelea hapa? mwenyekiti naomba nakala za maombi ya huyu kiumbe Mwanyasi, kabla sijamkata mtu wenge hapa.
 
Wii janeth 1 karibu kwenye familia yetu.... umpende kaka angu kwa mapenzi yasiyo mfano...mpate watoto wengi kama watu8.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…