Natangaza rasmi kujiunga na CCM


Msimlaumu sana KESHAJUA STAYLE yake ya kutoka kisanii. Kama MAKONDA kapenya kivile kwa nini na yeye asifanye kinamna atoke. Ndio principle ya MAZOMBI. Ila nikusahihishe Gwajima JEMBE katka kutekeleza kaziya Mungu kamsikilize mahubiri yake ; sio lazima ufuate
 
unamuulza nan apa hujui kinana alipo? sema unaenda kulipia kadi cio kuchukua card maana akil yako inaonekna ni wale wale
 
Hahaa bora mi pompopo kuliko we unaeamini kwamba hicho chama chako kitakuja kukukomboa,fanya kazi acha uvivu.Na mtangoja sana CCM haikamatiki

Aliyetaja chama kingine nani.. we fa.la. kweli.. sasa isipokamatika huku barabara mbovu, maji hakuna elimu inashuka, afya ndiyo usiseme wanawakomoa wapinzani au wananchi..!?

Ni taahira ndiyo anaweza kusema hayo unayoyasema
 
Aliyetaja chama kingine nani.. we fa.la. kweli.. sasa isipokamatika huku barabara mbovu, maji hakuna elimu inashuka, afya ndiyo usiseme wanawakomoa wapinzani au wananchi..!?

Ni taahira ndiyo anaweza kusema hayo unayoyasema

Endelea kujifariji sisiem twasonga mbele utatukana wee mwisho wa siku CCM ndo inakuongoza,jitambue kijana hao unaodhani watakukomboa hakuna kitu. Mwenye akili tu ndo anaelewa nini nasema.
 

Kwanza hongera sana mkuu pia wala hujachelewa ukizingatia kwamba no hurry in africa...kuhusu kadi mkuu tembelea ofisi yoyote au tawi lolote la ccm lililo karibu nawe.karibu sana mkuu
 
Kwanza hongera sana mkuu pia wala hujachelewa ukizingatia kwamba no hurry in africa...kuhusu kadi mkuu tembelea ofisi yoyote au tawi lolote la ccm lililo karibu nawe.karibu sana mkuu

Nashukuru kwa ukaribisho mkuu
 

Sasa nawewe ngoja wakutukane, si ungesema tu umejiunga na CCM basi, hayo yakusema ndo chama chenye dira ya kuwakomboa watanzania ndo umejinyea kabisa. CCM ikomboe mtanzania kutoka wapi. Ni sawa na kujiunga na shetani sababu shetani atawakomboa watu waache dhambi.
 

Sasa we mbona ndo umejihari*sh*ia kabisa kwa kuandika usichokijua
 

sema narudi ccm ukizaliwa unaikuta ccm ukipata upeo ndo maamuz yanafuata ila sisi bado tupo upinzani hakuna maendeleo ya nchi kisiasa na ki uchumi bila upinzani mnataka muwe peke yenu muibe bila waswas mimi hata chadema kingepita lazima ningehamia upinzani ili upinzani uendelee milele.
 

Inaonekana uko ndoton ,ukiamuka utajirekebisha na upuuz huoo .
 
Kwani asiyejua kuwa wewe ni gamba la muda mrefu?
 

Ha ha haaaaa. Makubwa. U Mtanzania na hujui pa kuchukulia kadi ya chama unachokipenda. Haya bana!
 


Karibu N,yandikwa mimi nafasi yangu kwenye FUTUHI nacheza nafasi nyingi mojawapo ni kama hii....
Je mwenzetu wewe ni maarufu kwenye nafasi ipi?

Wewe hakika ni kichwa. Unajua jinsi ya deal na wasanii. Safi sana.
 
Ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, that's funny, ccm imeshindwa kuwakomboa watanzania zaidi ya miaka 50 leo hii ndo unajenga hisia kuwa ccm itaikomboa Tanzania? Hopeless kabisa
 
Mi mzima siumwi mkuu labda wewe ambae hujaielewa subject matter I suspect umesahau nimeandika nini

Mimi nimekuelewa vizuri sana,kabla hujajiunga na ccm,kachukue mbwa wako unaofuga,ama kuku au bata ukawaandikishe na wapate kadi za ccm kisha wewe ndo ufuatie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…