NGOITANILE
Member
- Jul 24, 2016
- 55
- 28
plan ya mchezo mulizidiwa

Tukomae tu tikiti bovu lipo shamban kwetu hatuwezi kukimbia shamba!Unanitia moyo mana mm shabik mchanga jamani
Hayo ni naazimio ya uongozi, wanataka yanga ikutane na simba mapinduzi ili kujipima Kama kweli Lwandamina anawezaSio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Tangu lini ulikuwa yanga
Mshabiki wa timu huwa ahami timu kwa kufungwa
hatutawasema itakuwa siri yetuUkitaka kujuwa kama duniani kuna wapumbavu basi njoo Tanzania.huku sgd washabiki wanalia![]()
![]()
Yanga amepata kipigo cha mwenda wazimu
its to much hii kali kabisaSio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Wacha ujinga. Utajuaje wa kukutana nae na mechi inachezwa kesho?Kubali mmepigwa ARBA.Kama hujui game linavyokwenda kaa kimya !!!!! Ni mchezo wa hesabu na kumtafuta wa kukutana nae