Natamani wakoloni warudi Afrika

mlogolaje

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
1,509
813
328e765a900755f53305c4c50fb98ea0.jpg


Wakoloni so watu wabaya jamani Ki ivo kama mlivyo aminishwa kwanza naomba muelewe wakoloni wengi wanatoka bara la ulaya ambako wewe ukiambiwa Leo unatakiwa uende utatangaza mtaa mzima kwa furaha,

Pili mpaka sasa sisi waafrika tukiwa na shida wanatupa hela,dawa nk,sio watu binafsi at a serikali zetu sasa ubaya wao uko wapi,najua utasema walitutesa ukiniulza ili swali ntacheka toka hapa hadi Mwakaleli kwa marehem babu na bibi

Napenda wakoroni warudi sababu watauletea maendeleo simu na friji na nguo tutanunua kwa bei ya chini au watatupa bure,ukiniuliza eti watapora rasilimali zetu mm ntalia mpaka masoko tukuyu uku nikitembea kwa miguu

Tutajifunza utamaduni wao vizuri kwani ni mzuri ila kwa sasa tunajifunza kupitia Tv wataleta walimu live,

Naomba ieleweke wakoroni wamebadilika sana si kama walivokuwa zamani,waulize viongozi wa afrika wanaotibiwa kwao

Natamani waje
 
Back
Top Bottom