Natamani Wabunge.......

Natamani Wabunge.......

xhion

Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
29
Reaction score
9
NATAMANI kungekuwa na sheria kila Mmbunge ni lazima aishi kwenye jimbo lake. Jimboni kwake awe anaondoka pale panapokuwa na ishu za kikazi au likizo.

NATAMANI wabunge wangekuwa na uzalendo na kujua pale bungeni wako kwa ajili ya wananchi waliowamini na kuwapa kura ili wakawatetee na kutumiza ahadi zao walizoahidi ktk majimbo. Na siyo kutetea maslahi ya chama.

NATAMANI wananchi wangekuwa na haki ya kumuondoa mbunge ambaye wanaona hafanyi kazi waliomtuma na kumchagua mpya.

NATAMANI mpiga kura naye pia angekuwa anahudhuria bungeni. Ili apate nafasi ya kumkumbusha mbunge wake matatizo yaliyopo jimboni.

NATAMANI........
 
Mkuu xhion, NATAMANI kujua kama umetoa haya maoni yako kwenye katiba mpya ama laa!

Last edited by a moderator:

Wazo hilo ni zuri sana, Unadhani we ni wa kwanza!! Enzi za mwalimu Hayo yalikuwepo ndiyo maana karibu maeneo yote miradi ilikuwa inakwenda. kwa kuwa sasa ni Capitalism baada ya kuzika Socialism hawawezi kukaa kwa kuwa miradi anikwa juu ya maendeleo ya jamii ni hewa lakini miradi siri ndiyo inayotekelezwa. Refer Bajeti zote Matumizi ya kawaida Vs miradi ya maendeleo na tuhuma za uhujumu "Epa..............." . Staili ya maisha ya sasa ni kifungo cha nje ndugu a.k.a maisha ya uhamishoni
 
@ Muuza Ubuyu inabidi nianzishe katiba yangu. Umenichekesha sana ndugu yangu.
 
Last edited by a moderator:
Wazo hilo ni zuri sana, Unadhani we ni wa kwanza!! Enzi za mwalimu Hayo yalikuwepo ndiyo maana karibu maeneo yote miradi ilikuwa inakwenda. kwa kuwa sasa ni Capitalism baada ya kuzika Socialism hawawezi kukaa kwa kuwa miradi anikwa juu ya maendeleo ya jamii ni hewa lakini miradi siri ndiyo inayotekelezwa. Refer Bajeti zote Matumizi ya kawaida Vs miradi ya maendeleo na tuhuma za uhujumu "Epa..............." . Staili ya maisha ya sasa ni kifungo cha nje ndugu a.k.a maisha ya uhamishoni

Ni huzuni sana. Natamani Nyerere angefufuka
 
Ki mwili tukubali haitowezekana ila kifilosofia naamini ipo siku atazaliwa mtoto atakaekuwa mkombozi, hata kama ni miaka dahar. Jamaa aliyenyongwa wakati Africa Kusini ikitafuta uhuru wake katika maneno yake ya mwisho alisema hivi "Tell my peole that I love them. they must continue fight. My blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom" Kijana wa miaka 23 ndugu Solomon Mahlangu aliyenyongwa April 6, 1979.
 
Back
Top Bottom