jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Kwani bado yapo?
ukilifunga super single hapo mbele linapendeza.
Ndio mkuu nimelikuta njiani naelekea kijiji
Unatamani siku zingerudi nyuma ili usafiri tena kilomita 40 kwa saa 4 na uweke nguo zako kwenye mfuko wa Marlboro?! Mbona hueleweki Mkuu?!
Mkuu samahani...hicho kijiji unachoelekea walishapata Uhuru!?!!
Nakumbuka nilipanda basi kama hilo mwaka 90 naelekea singida kijijini ilikuwa saa 7 mchana.Yaani ilikuwa imejaza abiria mpaka wengine wamekaa juu ya "keria".Na muda huo mchana ulikuwa unapigwa wimbo flani hivi wa Afro 70 unaitwa Afro.Siwezi sahau hilo tukio kila huo wimbo ukipigwa.Hilo basi lilikuwa linaitwa kinanda.