Natamani sana zali la kigaidi linikute mamton

Anza Na kudhibiti vibaka kwanza kabla hujaingia kwa majambazi ndio uanze kuota hiyo ndoto ya magaidi

Eti unaweza kushindana Na mtutu kwa kutumia manati?
 
Ebwana wanaJF Mzuka!

Ndoto yangu ya kuwa milionea (intems of €£$) kihalal ipo palepale ingawa inachelewa bado sijakata tamaa. Nitatumia kila aina ya mbinu niwe milionea kihalal.

Natamani nijikute kwenye tukio la kigaid mamton kama Mumbai, Paris na Westgate style. Ila gaid awe mmoja tu na anatumia kalishnakov. Yani akianza kufyatua risas tuseme kwenye mall ama tren na watu kuchanganyikiwa na kukimbia hovyo hovyo mimi kwa ujasir namrukia na kumpiga mtama nakumyang'anya AK 47 na kumshushia kibano cha haja na hapo naomba CCTV ziwepo zikirekod na watu kuchukua footage na mobile zao. Namuweka gaid chin ya ulinz mkal had vyombo vya usalama vije.

Najua siku inayofuata nitaalikwa ikulu nakuvishwa nishan ya ushujaa. Nitaulizwa unataka tukufanyie nini? Nitawajibu tu, please PUT FOR ME ONE MILLION $£€ in my account.

Kama tukio kama hili litokee bongo tuseme mliman city weee sithubut kumvaa gaid nitatoka baruu.

Let us end the weekend in style na Njooz za ushind!
Muko wengi sio wewe Tu Leo hii ikatokea MTU akawapa Silaha vijana walioko mtaani kama Kule Somalia mbona tutauana wotee
 
Back
Top Bottom