karibu kamanda achana na lichama la waganga wa kienyeji na wala rushwa, na wauaji,,,, wafitini na waongo miaka 51 bado mnatangaza ahadi mpya??? karibu kwa makanda amabapo serikali itakuwa mikononi mwa wananchi, wananchi wakisea no , ni no serikali inasikiliza, sio hili liserikali la dk rushwa (jk) ambaye hata yeye hajui kwanini nchi ni maskini, anawajua wala rushwa ahachukui hatua, anawajua wauza madawa ya kulevya anawachekea coz wanampa mgao, yeye furaha yake ni kuona watz wanakufa na njaa uchaguzi ukifika wawape mahindi ya masaada na ng'ombe na pilau na nyama.... karibu cdm