Kusini kuchele
Senior Member
- May 21, 2023
- 129
- 733
Inasikitisha Sana.Hivi kuwa kama diva loveness love natakiwq nifanyeje? Yaani wanaume wanipapalikie,wanaume wanishobokee,nipate ofa ya bure kila ninapoenda,yaani kiujumla nipendwe na wanaume bongo mzima na nikipaka make up nivutie kila mtu au wanaume watokwe na mate naomba mniambie nifanyeje? Ila nishaanza mazoezi ya sauti,kutembea na kuvaa
Kiukweli mimi namuona anafaidi na anakula hela ya bure tu kwa jinsi wanaume wanavyomtamani na kumpapalikia aisee
Utakubali kuwa single Maza ? Sifa unazozitaja ni sifa za kuishi single na kupata wa kukata kiu ila fainali itakuwa matesoHivi kuwa kama diva loveness love natakiwq nifanyeje? Yaani wanaume wanipapalikie,wanaume wanishobokee,nipate ofa ya bure kila ninapoenda,yaani kiujumla nipendwe na wanaume bongo mzima na nikipaka make up nivutie kila mtu au wanaume watokwe na mate naomba mniambie nifanyeje? Ila nishaanza mazoezi ya sauti,kutembea na kuvaa
Kiukweli mimi namuona anafaidi na anakula hela ya bure tu kwa jinsi wanaume wanavyomtamani na kumpapalikia aisee
Nenda kwa mgangaHivi kuwa kama diva loveness love natakiwq nifanyeje? Yaani wanaume wanipapalikie,wanaume wanishobokee,nipate ofa ya bure kila ninapoenda,yaani kiujumla nipendwe na wanaume bongo mzima na nikipaka make up nivutie kila mtu au wanaume watokwe na mate naomba mniambie nifanyeje? Ila nishaanza mazoezi ya sauti,kutembea na kuvaa
Kiukweli mimi namuona anafaidi na anakula hela ya bure tu kwa jinsi wanaume wanavyomtamani na kumpapalikia aisee
Olewa wewe acha umalaya huo ukishafubaa unakua hauna dili tena zaidi zaidi unakua ushavuliwa chupi na idadi kubwa ya wanaume tu basiKiukweli mimi namuona anafaidi na anakula hela ya bure tu kwa jinsi wanaume wanavyomtamani na kumpapalikia aisee
Hivi kuwa kama diva loveness love natakiwq nifanyeje? Yaani wanaume wanipapalikie,wanaume wanishobokee,nipate ofa ya bure kila ninapoenda,yaani kiujumla nipendwe na wanaume bongo mzima na nikipaka make up nivutie kila mtu au wanaume watokwe na mate naomba mniambie nifanyeje? Ila nishaanza mazoezi ya sauti,kutembea na kuvaa
Kiukweli mimi namuona anafaidi na anakula hela ya bure tu kwa jinsi wanaume wanavyomtamani na kumpapalikia aisee
Nliisikia hio nyimbo ya single mother sijui kaimba nani anasema yeye hana mpango na wanaume mpango wake ni kua na watoto tu kwa hio akitokea mwanaume wa kuzaa nae analishwa tu na akitokea mwingine anazalishwa tena yeye lengo ni kua na watoto tu na sio kuishi na mwanaumeUtakubali kuwa single Maza ? Sifa unazozitaja ni sifa za kuishi single na kupata wa kukata kiu ila fainali itakuwa mateso
Na hela anakuwa hana! Wanajaribu kuiga akina Kim kardashian ambao hata wakiwa single wanazeeka na maokotoOlewa wewe acha umalaya huo ukishafubaa unakua hauna dili tena zaidi zaidi unakua ushavuliwa chupi na idadi kubwa ya wanaume tu basi
Epuka matapeliSasa unalalamika tu na hujaweka namba yako hapa...