Ndio maana wanasema karibu wanaume wote wanapenda kuwa na wanawake wengi ila tatizo ni kipato,sasa Muswati yeye hela yake ya kuishi hapa duniani inatoka kwenye kodi ya wananchi wa Swaziland muache ajikusanyie as many women as he can so long as nguvu ya ku wa-do anayo.