Natamani nimuache, ila....

Natamani nimuache, ila....

Queen Kan

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
5,302
Reaction score
9,095
Habari zenu, naamini mko wazima.

Niko kwenye mahusiano nae kwa muda wa miaka minne, tunapendana sana na hajawahi onesha kunivunjia heshima hata siku moja, isipokua migogoro midogomidogo ya kawaida, katikati ya mwaka jana albadlika, kila nikimpgia simu eti yuko busy. Mimi niko Dar yeye yuko nje ya mkoa kikazi, nahisi kuchoshwa na hili na natamani kuvunja haya mahusiano lakini bado nampenda.

Cjui nifanyeje
 
kama unapenda no body will replace her so fata moyo wako
 
here we go again with the lng distance relationships.....man shall never learn from others mistakes
 
Nahisi Kwaresma Hii Watu Wengi Wako Mateson Kinapenzi!pole Sana Yawezekana Kapata Kimwana Mpya!ndo Wanaume Mdogo Wangu.usione Mtu Analia Cku Ya Harusi,milima Na Mabonde Kibaaao!zidi Kumuomba Mungu Wako Ujue Ukweli Then Uchukue Uamuzi Mgumu!
 
Vunja tuu mama hamna jipya!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nahisi Kwaresma Hii Watu Wengi Wako Mateson Kinapenzi!pole Sana Yawezekana Kapata Kimwana Mpya!ndo Wanaume Mdogo Wangu.usione Mtu Analia Cku Ya Harusi,milima Na Mabonde Kibaaao!zidi Kumuomba Mungu Wako Ujue Ukweli Then Uchukue Uamuzi Mgumu!

Jaman mimi ni "she"
 
Habari zenu, naamini mko wazima...niko kwenye mahusiano nae kwa muda wa miaka minne, tunapendana sana na hajawahi onesha kunivunjia heshima hata siku moja, isipokua migogoro midogomidogo ya kawaida. katikati ya mwaka jana albadlika, kila nikimpgia simu eti yuko busy. Mimi niko Dar yeye yuko nje ya mkoa kikazi, nahisi kuchoshwa na hili na natamani kuvunja haya mahusiano lakini bado nampenda. Cjui nifanyeje

hiyo tu ndo sababu!!?? au umeshapata mshedede mwingine!!
 
Back
Top Bottom