Natamani nimtag!!

ha!ha!ha! Pouwa
 
Ulivyotumia maneno "ex girlfriend" ulikukuwa unajua maana yake?
 
kurudiana nae sitoweza mkuu, kumsahau nimejaribu lakin yeye huwa ndio ananitafuta na kumwambia asinitafute nashindwa kubadili namba nashinndwa coz ndiyo namba ya biashara zangu
 
Mkuu, let the bygone be bygone, ulishatoka huko yanini kutafuta malumbano? Anza maisha upya kwasababu utake usitake lazima maisha yaendelee. Waache waendelee na mambo yao, wewe tafuta kwingine. In short elewa kuwa there are so many uncountable unexploited venues, yanini kubanana katika nafasi ambazo huna tena chako?
 
Hamna kukubali kushindwa!!!!!!!!!! Usimtag na acc yako ya sasa ila fungua mpaya alafu MTAG vitu hivooooo! Asitake kujishau mjini wakati mji una wenyewe!!!!!!!!! Ila MHURUMIE BINTI WA WATU, WANAUME WASHIDA KWELI SIKU HIZI!!!!!!!!!!! SUBIRI AKISHAOA NDO UMTAG!!!!!!!!!!!!!! Nail it where it hurts most!!!!
 

mh sana kichumvi,kwani skendo ni nini?kwamba ulikuwa na mahusiano naye kabla ya huyo jamaa ndio skendo?
 
acha ujinga mlishaachana sasa tatizo liko wapi nawe weka picha za demu wako
 

Unasumbuliwa na wivu tu huna hoja.
Ukifanya hivyo utathibitisha kuwa u limbukeni wa Mapenzi
Na haitakuasidia lolote

Bazazi Nimesema!
 
Wivu ndio una kusumbua hadi sasa! Kame usinge kuwa unamfatilia wala usinge sumbuka kuumizwa!

Naona maana ya kuachana bado haija kukaa kichwani! Kwa nini mwenzio asilingie kilicho chake? Nakushauri usiharibu mapenzi ya watu!
Ni vyema ukakubali kushindwa!
Inawezekana ulimfundisha kusex lakini haukumfundisha kupenda!
 
you need to grow up........

umtag ili iweje?

wivu wa kipumbavu huo......

ukishamuharibia unapata nini?

au unadhani ndo utakua nae?
 
Nikka let it go and move on....get urslef a hott chick to impair ur focus on other ppl's agenda....Word::unfriend her to ease ur nerve....if u keep toying with the cold war idea with nikka in controll...somedays....ur black azss eggo will spill off and u will publish the dirty photos....
 

fanya kitu simpo.... M"BLOCK HUYO MWANA kushney hutoona mabalaa yake
 
Waache wapendanao wafurahie mahusiano yao. Ukimharibia mwenzio itakufaa nn? Jitahidini kutengeneza urafiki na si kuongeza maadui hata pasipo na sababu. Nakushauri usifuatilie hata hiyo fb page yake, kama yuko kwenye contacts zako, disable/delete kabisa. Hii itakupunguzia wivu.
 
.... the value of what you have is when you lost it!

kweli kabisa tena kwenye haya mambo ya gelo frendi na boi frendi ndiko kwenyewe but sometime in a certain circumstance no matter what we have to let it go.
 

mkuu hongera kwa ushauri wako mzuri,huwa nafuatilia sana comments zako then nakocompare na jina lako nachoka kabisa.wewe ni GT waukweli kabisa,much respect mkuu
 
bado unampenda ndo maana unaumia!,nayy kwnn anakutafuta!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…