habari wana jf!
Heri ya sikukuu ya eid el hajji
kwa ufipi nilikuwa na girlfriend tulipendana sana nilidumu nae kwa muda wa miaka 5 na mimi ndiye niliyemfundisha mapenzi tangu tupo secondari.
Tuliachana baada ya kunisaliti na kumsamehe mara 3 ilipokuwa chuoni. Lakin kwa sasa tunamawasiliano vizuri lakin kama maraafiki wa kawaida na juzi tulikutana.
Kwasasa yeye ana mpenzi tena nimeona picha kwenye account yake ya facebook amekuwaengaged,
mara nyingi napenda kucomment kikawaida bila mtu kujua kuwa tulishawahi kuwa na mahusiano
kinaniuma zaidi kila ninapocomment huyo mchumba wake nae anakuja kucomment kunionyesha kuwa yeye ndiyo mmiliki wa huyo msichana
na zaidi pia kwenye account ya huyo jamaa ameweka picha za huyo binti (my ex gf) akijisifia kuwa mchumba wake hana skendo yoyote ile na anajiamini kuweka picha yake.
Hili linaniuma sana tena sana jamani natamani nimtag huyo jamaa picha ambazo ni mbaya nikiwa na huyo binti enzi za mahusiano yetu lakin sina ugomvi na binti naombeni mnishauri kwa hili tafadhari!! Nawasilisha

achana nae na kama unataka usiendelee kuumiza moyo wako, mfute kabisa kwenye friends list yako, yaani kwa ufupi kata mawasiliano nae japokua hamjagombana , ila fanya hili kwa ajili ya happiness yako na pia uweze kumove foward na maisha yako.
kiukwel nampenda lakin kwasasa siwez kuwa nae coz sio mwaninifu na yeye huwa anitafuta mwenyewe kwanye simu yanguwewe unaumia kwa sababu unapenda kufatilia na kujua kinachoendelea katika mahusinno yao, ukiweza kuacha hili, hautamia tena, au bado unampenda huyo dada?
kiukwel nampenda lakin kwasasa siwez kuwa nae coz sio mwaninifu na yeye huwa anitafuta mwenyewe kwanye simu yangu
:A S thumbs_up:nani alikuwa analalamika hapa wanawake wana kisasi?
Hii imeonesha baadhi ya wanaoumizwa wanakuwa na kisasi.
Ila cha muhimu wee kaka, acha kuwasiliana kabisa na huyo dada huko fb hadi utakapopata wako na kidonda cha kuachana kipone.
Acha roho mbaya ya kutaka kumharibia mwenzio. Angalia ustaarabu wa maisha yako na acha kuingia kwenye page ya huyo binti kule FB. Ukishamuharibia wewe utapata faida gani?