Natamani nijilishe LIMBWATA

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,142
Reaction score
166,071
Yaani tangu nimempata huyu manzi wangu, mademu wakaliiiiiiii wamekuwa wakinifuata kila uchao, sijui kwanini nashindwa kuwakataa!!!!
Najishangaa nimekuwa kaka kitombi.
Hapa nahitaji LIMBWATA kali la kunifanya nisichepuke, maana huyu mrembo nampenda sana na kila nikichepuka naumia sana roho .
 
Omba Ushauri kwa warumi anajuana na waganga wote hapa mjini. Kuanzia mganga wa Diamond hadi Mganga wa Mbwana Samatta
 
Hahahhhh kumbeeeeee! Ile chorus
%nateseka kungoja fanya hima uje haraka, ni wewe mpenzi wangu mwenye shingo ya upanga x3
Sitakuacha sitakuacha mama..........%
Kumbe shida ni hii
Acha nijaribu kukutafutia limbwata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…