kigori wa kilwa JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 483 Reaction score 149 Dec 13, 2015 #1 Someni hii picha jamani natamani vyote nifanyiwe mie Attachments 1450040324332.jpg 70.4 KB · Views: 1,708
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,422 Reaction score 25,324 Dec 13, 2015 #2 and the vice versa is true
M Mr Smart Senior Member Joined Jan 31, 2013 Posts 171 Reaction score 92 Dec 13, 2015 #3 ndo maana wazungu wakasema no 1 is perfect... mtu m1 hawez akafanya vyote hivyo, but anaeza akafanya vingi kati ya hivyo...
ndo maana wazungu wakasema no 1 is perfect... mtu m1 hawez akafanya vyote hivyo, but anaeza akafanya vingi kati ya hivyo...
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,908 Reaction score 3,216 Dec 13, 2015 #4 hakuna mtu mwenye vyote hivyo
G Gojaga Nize JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 3,177 Reaction score 2,546 Dec 13, 2015 #5 Npm namba yako ya simu
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,856 Reaction score 44,200 Dec 14, 2015 #6 Wanawake acheni usanii Halafu leo kuna thread jama kaonyesha mwanaume mwenzake ana mke halafu anafagia yeye na kujipikia bilashaka nakufua nguo ni yeye.
Wanawake acheni usanii Halafu leo kuna thread jama kaonyesha mwanaume mwenzake ana mke halafu anafagia yeye na kujipikia bilashaka nakufua nguo ni yeye.
mtz daima JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 1,561 Reaction score 579 Dec 14, 2015 #7 .....weka vizuri mkuu unataka kufanyiwa haya yote kwa wakati mmoja?? Kama ni kwa wakati tofauti tofauti nibp
.....weka vizuri mkuu unataka kufanyiwa haya yote kwa wakati mmoja?? Kama ni kwa wakati tofauti tofauti nibp
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,072 Reaction score 16,624 Dec 14, 2015 #8 uyafanye yote hayo afu muda wa kutafuta hela utaupata wap?
Steven Robert Masatu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2009 Posts 2,458 Reaction score 1,826 Dec 14, 2015 #9 Na ukimpa 50elfu akitokea mwingine kampa 60elfu wewe wa hamsin ushakuwa ---- na mema yote 69 ulomtendea yashavurugika. Haya maisha ya kuigiza magumu sana ipo siku utatoka nje ya tune na kuaibika vibaya sana.
Na ukimpa 50elfu akitokea mwingine kampa 60elfu wewe wa hamsin ushakuwa ---- na mema yote 69 ulomtendea yashavurugika. Haya maisha ya kuigiza magumu sana ipo siku utatoka nje ya tune na kuaibika vibaya sana.
A Afrocentric Member Joined Feb 11, 2015 Posts 17 Reaction score 0 Dec 14, 2015 #10 💑hayana college😁😁