Natamani nifanyiwe hivi??

Natamani nifanyiwe hivi??

kigori wa kilwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
483
Reaction score
149
Someni hii picha jamani natamani vyote nifanyiwe mie
 

Attachments

  • 1450040324332.jpg
    1450040324332.jpg
    70.4 KB · Views: 1,705
ndo maana wazungu wakasema no 1 is perfect...
mtu m1 hawez akafanya vyote hivyo, but anaeza akafanya vingi kati ya hivyo...
 
Wanawake acheni usanii
Halafu leo kuna thread jama kaonyesha mwanaume mwenzake ana mke halafu anafagia yeye na kujipikia bilashaka nakufua nguo ni yeye.
 
.....weka vizuri mkuu unataka kufanyiwa haya yote kwa wakati mmoja?? Kama ni kwa wakati tofauti tofauti nibp
 
uyafanye yote hayo afu muda wa kutafuta hela utaupata wap?
 
Na ukimpa 50elfu akitokea mwingine kampa 60elfu wewe wa hamsin ushakuwa ---- na mema yote 69 ulomtendea yashavurugika.

Haya maisha ya kuigiza magumu sana ipo siku utatoka nje ya tune na kuaibika vibaya sana.
 
Back
Top Bottom