Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
Habari zenu MMU wote,
Nimejikuta nimetamani kurudi zamani yaani kabla sijajiunga JF, natamani niwe na tabia nzuri kama zamani, natamani niwe muaminifu hata kwenye kujibu swali la uko wapi kwenye simu kama zamani, natamani kuwa kama malaika, natamani kuwa kama mtoto, nataka kuwa innocent ila jamii iliyonizunguka imenibadili mnoooo hado cocaine imenionjesha, zamani kuzuri kuliko leo, ntarudije zamani..........................???