dudu morning ngo lugha gani
Elli au leo hujafanya tekenyo?!?!
Elli kuna watu wengine wako hivi
🙁tena bahati mbaya mwanaume) akikuongelesha ukaamua kunyamaza kimya ili kuepusha sahri anasema unamdharu. ukimjibu sasa, anageuza hayo uliyomjibu kama silaha yake sasa na ugomvi ndo unacotton fire! Ubinadamu kazi.............