Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,405
My wish was granted at last; alimmimba Housegirl wangu. Iliuma kwakuwa ni msichana wa kazi, ingekuwa sisterdo nisingeumia l think. Anyway, I think hakuwa moyoni saaana.
Mimi nilifikia wakati nikatamani acheat ili aniwache NIPUMUWE!
Siku zote silaha yangu kubwa kuendelea kuwa na amani na furaha, ni kujifunza kusamehe na kusahau...Ni ngumu lakini inawezekana
Duh kweli tunatofautiana, haya sasa akisha-cheat inakuaje? mi nadhani niki-cheat my wife wangu atajua tuMimi nilifikia wakati nikatamani acheat ili aniwache NIPUMUWE!
Mimi nilifikia wakati nikatamani acheat ili aniwache NIPUMUWE!
Mimi nilifikia wakati nikatamani acheat ili aniwache NIPUMUWE!
Duh kweli tunatofautiana, haya sasa akisha-cheat inakuaje? mi nadhani niki-cheat my wife wangu atajua tu
Duh kweli tunatofautiana, haya sasa akisha-cheat inakuaje? mi nadhani niki-cheat my wife wangu atajua tu
mmmh hauumii?
My wish was granted at last; alimmimba Housegirl wangu. Iliuma kwakuwa ni msichana wa kazi, ingekuwa sisterdo nisingeumia l think. Anyway, I think hakuwa moyoni saaana.
My wish was granted at last; alimmimba Housegirl wangu. Iliuma kwakuwa ni msichana wa kazi, ingekuwa sisterdo nisingeumia l think. Anyway, I think hakuwa moyoni saaana.
He was chocking me, pia nafikiri sikuwa nimempenda as l should. Nilikuja gundua baadaye!
It was taking me to work, picking me up, he can't go out without me; akiwa na safari anataka nitafute ruhusa twende wote etc. Sikuwahi wish hivyo kwa mtu mwingine yoyote!
Haha sasa naona leo kila mtu anatoa ushuhuda wake moyoni, mie huwa nakaa kimya kabisa, hata aniongeleshe vipi najizuia nisimjibu, anajua vyema but then tunaendelea vziru tu, huwa nasamehe on spot wakati anaongea ndio maana huamua kukaa kimya nisijibishane naeSiku zote silaha yangu kubwa kuendelea kuwa na amani na furaha, ni kujifunza kusamehe na kusahau...Ni ngumu lakini inawezekana
Pole bibie, ndoa zina mambo....dah!!!!!
pole ya nini wakati aliwish kuwa cheated?
No matter!!!!!!