Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
hakuna hata kelele za bar!nyumba za kulala wageni wa mchana kwa sasa vyumba vipo!
<br />Mwenyezi mungu Inshallah ataikopea Dua yako na watabadilika.
<br />Mwenyezi mungu Inshallah ataikopea Dua yako na watabadilika.
utan wa kwel uoMimi sitamani hata kidogo miezi yote iwe kama mwezi mtukufu kwa sababu biashara yangu ya kiti moto imedorora sana sana. Kwa mwendo huu nitashindwa kusomesha watoto!!
Shosti... nakusoma!utan wa kwel uo
Mimi sitamani hata kidogo miezi yote iwe kama mwezi mtukufu kwa sababu biashara yangu ya kiti moto imedorora sana sana. Kwa mwendo huu nitashindwa kusomesha watoto!!
Mhhhhhh dada??Vitimoto vinaharibika hakuna wanunuzi
na mitandaoni na socila networks kumekua na ustaarabu ramadhani idumu.kitimoto bwelele hata nidhamu mitaani imerudiNa mimi nilitaka kuuliza; ni kwa nini kiti moto inadoda kipindi hiki? Ni kweli kuna wateja wa dini mbali mbali wa hii kitu??