mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,568
- 10,624
Natamani kwenda Movenpick kuwaeleza Watawala Tanzania ninayoitaka.
Tanzania ninayoitaka ni ile ambayo watoto wake wanasoma kwenye madarasa na pia wanakaa kwenye madawati.
Tanzania ninayoitaka ni ile ambayo akina mama wakienda kujifungua wanajifungua kwa staha (sio kulala mama zaidi ya mmoja kwenye kitanda kimoja)
Tanzania ninayoitaka ni ile ambayo wazee wake wale waliokuwa watumishi na ambao hawakuwa watumishi wanapatiwa pension,(maana hata wanaopata wengi wao wako hoi)
Tanzania ninayoitaka ni ile ambayo watu wake wanapata angalau milo miwili achilia mbali mitatu.
Tanzania ninayoitaka ni ile ambayo rasilimali iliyopo kama madini, maliasili nk inatumika kunufaisha Watanzania badala ya kutoroshwa nje na wageni wakisaidiwa na watawala.
Tanzania ambayo viongozi wachache hawatumii madaraka waliyonayo kuingia kwenye mikataba mibovu na yenye mianya ya kuumiza wananchi wa chini.
Hii ndio Tanzania ninayoitaka ambayo natumaini Watanzania wengi wanaitaka ambapo kama nikipata nafasi kwenda movenpick nitawaeleza Watawala.
Kila mtu akifanya kazi kwa bidii, tutafika huko. Wapo watanzania ambao wapo tayari kwenye hiyo hali unayoilezea.Na wote wamefikia huko kwa kufanya kazi na kutafuta kwa bidii.

Maana wote wanaopata nafasi kwenda kwenye mjadala wa Tanzania tunayoitaka wanaishia kulumbana na kutoeleza Tanzania wanayoitaka.Kwani hao unaotaka kuwaeleza "ndoto"yako wanaishi hapo movenpick!
Kila mtu akifanya kazi kwa bidii, tutafika huko. Wapo watanzania ambao wapo tayari kwenye hiyo hali unayoilezea.Na wote wamefikia huko kwa kufanya kazi na kutafuta kwa bidii.
Maana wote wanaopata nafasi kwenda kwenye mjadala wa Tanzania tunayoitaka wanaishia kulumbana na kutoeleza Tanzania wanayoitaka.
Miijadala ya Tanzania tunayoitaka inafanyika movenpick hotel.jamani hv ikulu imehamia movenpick siku hz,huyu malenga wetu hata sijamuelewa.
Kwani hao unaotaka kuwaeleza "ndoto"yako wanaishi hapo movenpick!
Kila mtu akifanya kazi kwa bidii, tutafika huko. Wapo watanzania ambao wapo tayari kwenye hiyo hali unayoilezea.Na wote wamefikia huko kwa kufanya kazi na kutafuta kwa bidii.
fanya kazi wewe....utalalamika mpaka lini? kwani hao wenyenazo wamezipataje? kama ni opportunities zilitokea wakaneemeka, na wewe jaribu kuzieplore uzitumie! kulia lia hapa JF haikusaidii chochote zaidi ya kuzidi kujiumiza!tatizo la watu kama nyinyi sio ukosefu wa akili bali ukosefu wa moyo wa kibinadam. yaani mnajijali nyinyi sana kiasi hata mko tayari kuwadhuru watu wengine ili mradi tu mpate. watu kama nyinyi mliotanguliza sana maslahi binafsi huwa nawaogopa sana maana mnaweza hata kutoa ****
Ambao hawajafika hapo, inamaana hawafanyi kazi kwa bidii?Kila mtu akifanya kazi kwa bidii, tutafika huko. Wapo watanzania ambao wapo tayari kwenye hiyo hali unayoilezea.Na wote wamefikia huko kwa kufanya kazi na kutafuta kwa bidii.