Natamani kuwafunda lakini?

Tatizo lipo kwa wanaume kuwa wachafu lakini hii ni kitokana na malezi na chimbuko lake ni wazazi. Unakuta mtoto anawekewa housegirl tangu akiwa mdogo hadi linakuwa jitu zima bado linafuliwa boxer. Ukiukataa uchafu nao utakukimbia, uchafu ni asili ya mtu hata kama utaoa mwanamke msafi.
 
yaani wewe ndo umeongea kuliko wote hapa cc kwani umeona jambo hilo ni asili ya mtu mwenyewe
 
kwa upande mwingine ni kweli kweli tupu kuwa makaka sisi ni wachafu kwani asili ya mtu ni vile alivyojengewa msingi tangia mtoto kama alikuwa anadekezwa bila hata kuambiwa fua chupi yako atakuwa hivyo hivyo hadi ukubwani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…