ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #21
Kuna kitu siwezi kukubaliana na wewe kamwe hii ya kusema wanaume ni wachafu. Ukikuta mwanaume ni mchafu jua moja kwa moja mkewe ni mchafu haswa. Mwanamke wajibu wake ni kuhakikisha usafi wa mume. familia na mazingira. Mwanaume wajibu wake ni kuhakikisha kuwa kipato cha kuweza kumudu mahitaji kipo. hii kauli yako naipinga kwa nguvu zangu zote. Siyo kwa kuwa nina mwanaume ninayempenda sana hapana. Kauli imekaa vibaya kama kuvunjiana heshima. pia naona jinsi wanawake mnavyosahau wajibu wenu. More respects to all men.
wewe unayejali mazingira wafunze basi...
Si kwa sababu huwa wanawake hawasemi! Mie nna pua sensitive sana na napenda organisation. Kuna wanaume wananuka sijui vitu gani wallah! Yaani hata kama ni ofisini unamvumilia tu ila unatamani kushika pua!
Mmh wanawake mnavihoja kwelkwl, ila abt dis nadhan t relies 2 personal awareness na c kusema Kwamba flani z responsible 4 nastic outluk ya sombody zaid zaid kwa sababu za ku avoid kuabika pia wyf au husband anaweza take over juu ya usaf wa mwenzie.
Abt mazingira km mtoa Uzi anavyo insist nadhan Mara nyingi nje ya fance za majumba ye2 wengi wana Ile spirit ya kuamini kua Labda Yule flani atasafisha na inakua hivyohivyo pande zote at da mazingira ya mtaa yanakua xo nast
Dah, tafaazi tutake radhi...sema "MWANAUME" na sio "WANAUME"huyo jamaa yako ndo mchafu, nadhan amepata ujumbe maana mpaka umeweza kuweka uzi hapa basi unaamini ujumbe utamfikia
najua jinsi ulivyomsafi mdogo wangu. na ili uje useme neno hapa
au nimekosea?!?!?
ila dogo unakula matonge makubwa.......khaaaaaaaa! hukabwi!?
wote wanaume ni wachafu sana imyenda gya nkati hamfui mpaka ziwe rangi ya brown ndipo mnaona ni chafu na hamtaki kuvvaa white kwani vitawaadhiri na kutoa siri zenu chafu, JIREKEBISHENI ACHENI UCHAFU NI UNALETA UGONJWA JAMANI
Bora umwambie kwani anahahakisha sahani nzima anamaliza pekee yake si unaona mm nilivyokuwa chikonda
kwanini unageneralize? kama uliokutana nao ni wa chafu unataka kuconclude basi wote ni wa chafu? kwenye red kwa wale ambao hawavai hiyo kitu huyo utamuweka kundi gani? :help:
mmhhhh.......kwa kudandia----aaa hujambo bestitio!
najua jinsi ulivyomsafi mdogo wangu. na ili uje useme neno hapa
au nimekosea?!?!?
ila dogo unakula matonge makubwa.......khaaaaaaaa! hukabwi!?
Najua unanisema mimi, lakini wewe endelea tu................
No comment nisije nikatukana bure.........
topic imekubamba nini?
Muulize mke wangu The secretary......white underware,white vest,white hankerchief,black soxy......always.....
Muulize mke wangu The secretary......white underware,white vest,white hankerchief,black soxy......always.....