Tafuta chuo cha ujasusi usomee nadhani lazima upate kibali kutoka kwa mamlaka kama unakidhi vigezoHivi ni hatua zipi zinahitajika mtu ujifunze kuwa sniper!?
Ni lazima upitie kuwa mwanajeshi au police?
Huwezi pata mafunzo yoyote nje ya jeshi ikiwa utahitaji kumiliki silaha yenye uzito huo kwa matumizi yako binafsi.
Na aina hii ya silaha zinapatikana kwa matumizi binafc!?
Hivi ni hatua zipi zinahitajika mtu ujifunze kuwa sniper!?
Ni lazima upitie kuwa mwanajeshi au police?
Huwezi pata mafunzo yoyote nje ya jeshi ikiwa utahitaji kumiliki silaha yenye uzito huo kwa matumizi yako binafsi.
Na aina hii ya silaha zinapatikana kwa matumizi binafc!?
Kama ulikuwa hujui WEWE ni miongoni mwa Wa wale waliyenifanya nikajiunga na jamiiforums nakukubali sanaNjoo uchukue manati yangu..
Oooh ahsante sana mkuu kwa knikubali, nakukubali pia BossKama ulikuwa hujui WEWE ni miongoni mwa Wa wale waliyenifanya nikajiunga na jamiiforums nakukubali sana
pamoja mkuuOooh ahsante sana mkuu kwa knikubali, nakukubali pia Boss
kaka profile picture yako nimeipenda aisee😆😆Zamia Somalia hapo unapewa mafunzo yote.
Ukirudi kama una jicho zuri unaweza kupiga target hata iliyo umbali wa mita 1000.
Tatizo TZ umiliki wa silaha ni mtihani, ingekua kama USA shavu sana.
Maana kuna vitu mtu unataka kufanya ila huna access ya kupata sniper rifle.
Hata smuggling game yetu ni ndogo sana.
Macho yako yanoesha ulivaa miwani sana au umetoka kulala?Jsmani! unataka uwe mzungu mtekaji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona hutaki kuona risasi zinakata konaHahahaha, jamaa nawakubali wanapofanya kazi yao kwa utulivu na uhakika wa shabaha…. Ila ni kweli yupo anayenifanifanya nizidi kuitamani kuijua, laiti ningejua… angeondoka!