Natamani kuwa Mzee

Natamani kuwa Mzee

Bado 22 mkuu!!

Duuh,,, Kama ndani ya miaka 33 umeshindwa kuupata utajiri., Je miaka 22 ukitoa miaka 8 ya mikazo ya Magu, 14 itatosha kweli..?? Mkuu shng ngapi unauza hiyo figo., Angalau hta niwe nazo tatu, Nikiulizwa niseme baba mi nna tatu at least...!!
 
Figo yangu mm simuuzii kapuku mwenzangu!
Nasubr world billionaire afeli figo then niuze fasta!
Billion 100 natoa figo fasta bila hata kuomba ushaur kwa mkewangu!
Labda ww uwe dalali ukisikia billionaire ana suffer figo nitonye fasta mkuu!
 
Hhahahh...!!! Jf kichaka Mkuu.,, Huwezi jua. Kwan izo billion 100 ni shng / dollar.??
 
Mkuu wewe hata usiangaike Ku convert to dollars!
We zillete hivyohivyo in tshiling
Sigeuki nyuma! Fasta mbele kwenda kuchezea nyembe na mikasa upasuaji!
 
Kwa jinsi Hali ya maisha ilivyo ngumu kwa kweli natamani ningekuwa Mzee tu maana ujana unachangamoto nyingi Sana na zimenielemea kwelikweli
179-year-old-man-from-india.jpg
Very soon uko mlangoni.
cruzhernandez_wideweb__470x313,0.jpg

Huna pa kukwepea.
 
Mzeee ungetuma na kapicha tuone, pengine ushazeeka hujijuii
 
Kwa jinsi Hali ya maisha ilivyo ngumu kwa kweli natamani ningekuwa Mzee tu maana ujana unachangamoto nyingi Sana na zimenielemea kwelikweli
Karibu uzeeni aiseeeee.....
Minatamani kuwa mtoto
 
Kama una pesa sawa kama huna zitafute uzee bila pesa ni jehanamu ya duniani. Mwangalie mzee Machache avyoenjoy uzee wake
Sahaman mkuu Mzee Machache unamaanisha LE mtuuzzi....oh Nimkumbka basi ni yule wa PIPII
 
Back
Top Bottom