Natamani kuwa kibarua

Natamani kuwa kibarua

Sacrifice

Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
70
Reaction score
13
Heshima kwenu wakuu,

Kwa wale mliojaliwa kuwa na biashara/capital na mnahitaji mtu/agent wa biashara yako mimi natafuta mtu mwenye shida ya msaidizi nimfanyie kazi.

Nipo tayari hata tukaandkshane mbele ya sheria kama unawasiwasi na mimi, nimzoefu wa biashara za aina nyingi. Uzuri wake Mungu kanijalia afya, najua kiswahili na kiingereza vyema bila kubabaika.

Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 20. Nipo tayari kumpa nakala za vyeti vyangu na kumuonyesha kwangu. Nipo tayari kufata masharti atakayo hitaji. Nipo mikoani.

Napatikana inbox

Asante
 
Back
Top Bottom