ki2kombora
Member
- Feb 19, 2018
- 49
- 85
Who told you that bro??Soma pharmacy haihitaji D ya physics
Soma pharmacy haihitaji D ya physics
Ni sahihi kozi ya pharmaceutical science certificate na diploma wameondoa kigezo cha ufaulu wa somo la fizikia .Who told you that bro??
Soma pharmacy haihitaji D ya physics
Apply for pharmaceutical science certificate or diploma na muda wa application ndio huu till August.....Habari za leo ndugu zangu!! Nimemaliza kidato cha nne na kupata alama zifuatazo
Biology C Chemistry D Mathematics D Physics F Geography C English B Naomba msaada naweza kusoma kozi gani ya afya?
Ni sahihi kozi ya pharmaceutical science certificate na diploma wameondoa kigezo cha ufaulu wa somo la fizikia .
Wamebadilisha vigezo angalia guidebook ya mwaka huku
Pharmaceutical science na Community health ndio hazihitaji D ya Physics basi, kozi nyingine zinahitaji ufaulu Wa Physics
Si wanaomba direct chuonApply for pharmaceutical science certificate or diploma na muda wa application ndio huu till August.....
Tembelea website ya NACTE utaona vyuo chagua ukipendacho kwa vigezo vyako then fanya application chap..
Acha kukatisha watu tamaaKama umeshindwa kupata D ya Physics O Level lazima udisco tena mwaka wa kwanza tu
Mkuu samahani, naomba maelekezo ya namna ya kufanya maombi kupitia Nacte mwaka wa masomo 2019/2020 nimetafuta hiyo link siioni.Apply for pharmaceutical science certificate or diploma na muda wa application ndio huu till August.....
Tembelea website ya NACTE utaona vyuo chagua ukipendacho kwa vigezo vyako then fanya application chap..
Wameweka vigezo gani?Tatizo ni kwamba umekariri vigezo vya zaman, wamebadilisha vigezo juzi juzi tu