We Gefu kwanza ubuheri ? Mbona umekuja na speed hivyo? si ungeaanza na wahindi au waarabu au hata wachina. Mara moja wadhunghu!! mmhh Sawa mkuu basi ujaaliwe Mcanada bomba!!Mazee baada ya misele ya kutosha sasa naona nivute mzungu!!!!!!!!!!
Kiukweli wazungu wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda uharibu, hapo hakutakalika !!!!!
Mzungu mwenyewe awe kutoka kwa Obama, uingereza na vinchi vingine, ikiwa pamoja na wale wanaoishi bongo nitawafikiria baadae sana.
Suala la ngozi nyeupe sijui ni wabaridi, tutawasha hita huko mtoni mambo yatakwenda freshhh.
Kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
alete cv nimeasesi kwanza.:welcome:
Fuga rasta, vaa mkalcha na tembelea kwenye fukwe...
Mazee baada ya misele ya kutosha sasa naona nivute mzungu!!!!!!!!!!

alete cv nimuasesi kwanza.:welcome:
cc Heaven on earth

Kwa nini umeni CC!!!!!!
Bila kusahau begi kubwa mgongoni ikiwezekana hata mawe ubebe huku unaimba imba:love:
Ameku cc kwa kuwa nyie ndugu. Wote mwataka mpate couples wazungu.
Mazee baada ya misele ya kutosha sasa naona nivute mzungu!!!!!!!!!!
Kiukweli wazungu wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda uharibu, hapo hakutakalika !!!!!
Mzungu mwenyewe awe kutoka kwa Obama, uingereza na vinchi vingine, ikiwa pamoja na wale wanaoishi bongo nitawafikiria baadae sana.
Suala la ngozi nyeupe sijui ni wabaridi, tutawasha hita huko mtoni mambo yatakwenda freshhh.
Kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
alete cv nimuasesi kwanza.:welcome:
cc Heaven on earth
Umpe maujanja na mambinu!Kwa nini umeni CC!!!!!!
Rubega mbona ndio zangu mkuu,ila sijawahi beba mbebi wa euroAu apige tu lubega mkuu...!!!
Mmmmmmh! raia mmepinda. . .begi kubwa mgongoni ikiwezekana hata mawe ubebe: