D Digo wa Digo New Member Joined Jul 11, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Jul 11, 2013 #1 kwa kweli vijana wamezidi kunisononesha,siku nikimpata mmama aliyetulia naoa kabisa,sisemi hivi ili kusaidiwa kimaisha,mimi ninajiweza kikawaida siyo tegemezi.
kwa kweli vijana wamezidi kunisononesha,siku nikimpata mmama aliyetulia naoa kabisa,sisemi hivi ili kusaidiwa kimaisha,mimi ninajiweza kikawaida siyo tegemezi.
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,502 Jul 11, 2013 #2 Unataka wewe ndio uwasumbue hao wanaokuzidi umri? Face agemate wako na changamoto zao, ndio uanamume huo.
Unataka wewe ndio uwasumbue hao wanaokuzidi umri? Face agemate wako na changamoto zao, ndio uanamume huo.
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Jul 11, 2013 #3 Nina mkwe wangu anatafuta mwanaume wa kumaliza nae ujana, vp atakufaa? Ila ni mwarabu, mama ya kabaang!
Nina mkwe wangu anatafuta mwanaume wa kumaliza nae ujana, vp atakufaa? Ila ni mwarabu, mama ya kabaang!
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,963 Jul 11, 2013 #4 Digo wa Digo said: kwa kweli vijana wamezidi kunisononesha,siku nikimpata mmama aliyetulia naoa kabisa,sisemi hivi ili kusaidiwa kimaisha,mimi ninajiweza kikawaida siyo tegemezi. Click to expand... Kweli naona umejiunga leo na kudondosha post kali!!! Hawa wa mama unataka wa umri gani? Be specific kwa kuwa nao wamechoshwa na wanaume wasumbufu ndo maana wana viserengeti boy!!! Ila mmama si atakuwa mama yako? Sema mapenzi ni kipofu eti haoni!!
Digo wa Digo said: kwa kweli vijana wamezidi kunisononesha,siku nikimpata mmama aliyetulia naoa kabisa,sisemi hivi ili kusaidiwa kimaisha,mimi ninajiweza kikawaida siyo tegemezi. Click to expand... Kweli naona umejiunga leo na kudondosha post kali!!! Hawa wa mama unataka wa umri gani? Be specific kwa kuwa nao wamechoshwa na wanaume wasumbufu ndo maana wana viserengeti boy!!! Ila mmama si atakuwa mama yako? Sema mapenzi ni kipofu eti haoni!!
HorsePower JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 3,612 Reaction score 2,569 Jul 11, 2013 #5 Digo wa Digo said: kwa kweli vijana wamezidi kunisononesha,siku nikimpata mmama aliyetulia naoa kabisa,sisemi hivi ili kusaidiwa kimaisha,mimi ninajiweza kikawaida siyo tegemezi. Click to expand... Una uhakika gani kama hao wamama hawatakusumbua pia?
Digo wa Digo said: kwa kweli vijana wamezidi kunisononesha,siku nikimpata mmama aliyetulia naoa kabisa,sisemi hivi ili kusaidiwa kimaisha,mimi ninajiweza kikawaida siyo tegemezi. Click to expand... Una uhakika gani kama hao wamama hawatakusumbua pia?