natamani kuoa aliyenizidi umri

natamani kuoa aliyenizidi umri

Digo wa Digo

New Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
4
Reaction score
0
kwa kweli vijana wamezidi kunisononesha,siku nikimpata mmama aliyetulia naoa kabisa,sisemi hivi ili kusaidiwa kimaisha,mimi ninajiweza kikawaida siyo tegemezi.
 
Unataka wewe ndio uwasumbue hao wanaokuzidi umri?
Face agemate wako na changamoto zao, ndio uanamume huo.
 
Nina mkwe wangu anatafuta mwanaume wa kumaliza nae ujana, vp atakufaa?
Ila ni mwarabu, mama ya kabaang!
 
kwa kweli vijana wamezidi kunisononesha,siku nikimpata mmama aliyetulia naoa kabisa,sisemi hivi ili kusaidiwa kimaisha,mimi ninajiweza kikawaida siyo tegemezi.
Kweli naona umejiunga leo na kudondosha post kali!!! Hawa wa mama unataka wa umri gani? Be specific kwa kuwa nao wamechoshwa na wanaume wasumbufu ndo maana wana viserengeti boy!!! Ila mmama si atakuwa mama yako? Sema mapenzi ni kipofu eti haoni!!
 
kwa kweli vijana wamezidi kunisononesha,siku nikimpata mmama aliyetulia naoa kabisa,sisemi hivi ili kusaidiwa kimaisha,mimi ninajiweza kikawaida siyo tegemezi.

Una uhakika gani kama hao wamama hawatakusumbua pia?
 
Back
Top Bottom