Natamani kujua dhamiri za Wana-CCM hawa zinawashughudiaje baada ya Lowasa kurejea kwenye chama,

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,051
2,000
KIKWETE:-
"Lissu anataka nimtaje mhusika wa
Richmond wakati mwenye
Richmond yupo na anatembea
naye mikoani"

MSUKUMA (MB):
"Yule mgombea wao juzi kajinyea"

NAPPE (MB)
"Lile ni jizi, na kazi yetu ilikuwa moja tu, kulikatllia mbali. Hatuwezi kuiacha gesi yetu mikononi mwa mtu mwizi"

MAKONDA:
"Yule mtu nilimpinga kwa nguvu zote toka nikiwa UVCCM, Hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa. na leo angekuwa Raisi nadhani ningekuwa ndani"

MAGUFULI:-
"Tutaanzisha mahakama ya mafisadi, Mafisadi lazima yafungwe na mengine yameshakimbilia upinzani tayari"

Siasa Sihasa!
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,022
2,000
Hoja ya ufisadi haina uzito tena keshasafishwa kotekote.Wamemrudisha ccm wakiamini atarudi na kura Milioni 6 utadhani aliziweka bank ni kuzijumlisha.Kumbe alivoingia ndivo alivorudi.
 
much know

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
2,641
2,000
KIKWETE:-
"Lissu anataka nimtaje mhusika wa
Richmond wakati mwenye
Richmond yupo na anatembea
naye mikoani"

MSUKUMA (MB):
"Yule mgombea wao juzi kajinyea"

NAPPE (MB)
"Lile ni jizi, na kazi yetu ilikuwa moja tu, kulikatllia mbali. Hatuwezi kuiacha gesi yetu mikononi mwa mtu mwizi"

MAKONDA:
"Yule mtu nilimpinga kwa nguvu zote toka nikiwa UVCCM, Hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa. na leo angekuwa Raisi nadhani ningekuwa ndani"

MAGUFULI:-
"Tutaanzisha mahakama ya mafisadi, Mafisadi lazima yafungwe na mengine yameshakimbilia upinzani tayari"

Siasa Sihasa!
Dhamiri zao zitakuwa sawa na kina Lisu, Mbowe na bavicha wengine waliozunguka kila pembe ya nchi hii wakitupasha habari za ufisadi Papa wa losawa Ghafla wakabadili gia angani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,689
2,000
KIKWETE:-
"Lissu anataka nimtaje mhusika wa
Richmond wakati mwenye
Richmond yupo na anatembea
naye mikoani"

MSUKUMA (MB):
"Yule mgombea wao juzi kajinyea"

NAPPE (MB)
"Lile ni jizi, na kazi yetu ilikuwa moja tu, kulikatllia mbali. Hatuwezi kuiacha gesi yetu mikononi mwa mtu mwizi"

MAKONDA:
"Yule mtu nilimpinga kwa nguvu zote toka nikiwa UVCCM, Hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa. na leo angekuwa Raisi nadhani ningekuwa ndani"

MAGUFULI:-
"Tutaanzisha mahakama ya mafisadi, Mafisadi lazima yafungwe na mengine yameshakimbilia upinzani tayari"

Siasa Sihasa!
Sasa HV nimeamini wanasiasa wote,sio watu wa kawaida,mi nafikiri walitoka sayari nyingine,
Wao kwao ni ulaji tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamvimoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
848
1,000
KIKWETE:-
"Lissu anataka nimtaje mhusika wa
Richmond wakati mwenye
Richmond yupo na anatembea
naye mikoani"

MSUKUMA (MB):
"Yule mgombea wao juzi kajinyea"

NAPPE (MB)
"Lile ni jizi, na kazi yetu ilikuwa moja tu, kulikatllia mbali. Hatuwezi kuiacha gesi yetu mikononi mwa mtu mwizi"

MAKONDA:
"Yule mtu nilimpinga kwa nguvu zote toka nikiwa UVCCM, Hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa. na leo angekuwa Raisi nadhani ningekuwa ndani"

MAGUFULI:-
"Tutaanzisha mahakama ya mafisadi, Mafisadi lazima yafungwe na mengine yameshakimbilia upinzani tayari"

Siasa Sihasa!
Huyo mzee amekuwa jamvi la wageni Mie nigestaaf siasa sijui kaacha mini huko
No waziri mkuu mstaaf ambae siasa zimempa taabu sana
 
BUBERWA D.

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
2,298
2,000
KIKWETE:-
"Lissu anataka nimtaje mhusika wa
Richmond wakati mwenye
Richmond yupo na anatembea
naye mikoani"

MSUKUMA (MB):
"Yule mgombea wao juzi kajinyea"

NAPPE (MB)
"Lile ni jizi, na kazi yetu ilikuwa moja tu, kulikatllia mbali. Hatuwezi kuiacha gesi yetu mikononi mwa mtu mwizi"

MAKONDA:
"Yule mtu nilimpinga kwa nguvu zote toka nikiwa UVCCM, Hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa. na leo angekuwa Raisi nadhani ningekuwa ndani"

MAGUFULI:-
"Tutaanzisha mahakama ya mafisadi, Mafisadi lazima yafungwe na mengine yameshakimbilia upinzani Hiyo ndiyo tayari"

Siasa Sihasa!
Umewahi kushangaa wale waliomuimba nchi nzima kwa miaka 8 then wakampokea na kumuweka mbele awe kiongozi wao na mgombea urais bila hata ya kufuata katiba yao? hiyo ndo siasa. After all, huko CCM si kiongozi ila karata waliyochanga ni kuwadhoofisha tuu huko alikotoka.
 
kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,139
2,000
Umewahi kushangaa wale waliomuimba nchi nzima kwa miaka 8 then wakampokea na kumuweka mbele awe kiongozi wao na mgombea urais bila hata ya kufuata katiba yao? hiyo ndo siasa. After all, huko CCM si kiongozi ila karata waliyochanga ni kuwadhoofisha tuu huko alikotoka.
CCM sio lengo lao kuwadhoofisha alikokuwa,lengo lao ni kummaliza kiasiasa. Angebaki aliko alikuwa akiwasumbua maana alikuwa kaacha watu wake CCM,kwa sasa wamemmaliza na hana tena sauti kisiasa.
Alitakiwa kustaafu ili kubaki akiheshimika,kwa sasa hana heshima upinzani wala CCM.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom