Google power computer collage dar es salaam.AF nilitee mrejesho hapa umesaidikaHabari wakuu,
Mimi ni graduate wa nimesoma uhasibu(degree ua kwanza), wakati tunasoma kuna watu walikuja chuoni kutafuta wanaotaka kujifinza accounting packages,ila hawakufanikiwa kuendesha mafunzo hayo.kwa sasa kuna kazi nafanya inahusisha uhasibu na utunzaji wa stoo ya vitu.kutokana na changamoto mbali mbali za kikazi nalazimika kujifunza tally sytem(mabosi wameipenda hii).
.naomba kujua yafuatayo;
Je naweza kujifunza kwa siku ngapi?
Vipi gharama zake?
Asante
Nipo na wahindi,wao ndio wanataka hiyo system itumike(wanaiamini + ni ya nchi yao).Tally inafundishwa kwa level,course ina mambo mengi sana kiasi kwamba waweza soma hata mwaka mmoja Cha msingi wewe unataka kujifunza kwa sehemu gani.
Kuna baadhi wanafundusha Foundation course,intermediate na Advanced Tally.
Kama wewe ni Mhasibu na unatumia Tally ofisini kwenu jifunze,Mimi nilijifunza Tally but now so useless Maana ofisini kwetu hatutumia Tally na nimebaki na cheti tu.
Nenda youtube utakuta video zake, bure kabisa.Habari wakuu,
Mimi ni graduate wa nimesoma uhasibu(degree ua kwanza), wakati tunasoma kuna watu walikuja chuoni kutafuta wanaotaka kujifinza accounting packages,ila hawakufanikiwa kuendesha mafunzo hayo.kwa sasa kuna kazi nafanya inahusisha uhasibu na utunzaji wa stoo ya vitu.kutokana na changamoto mbali mbali za kikazi nalazimika kujifunza tally sytem(mabosi wameipenda hii).
.naomba kujua yafuatayo;
Je naweza kujifunza kwa siku ngapi?
Vipi gharama zake?
Asante
Ipo he hiyo software?bei?n.k
Nipo na wahindi,wao ndio wanataka hiyo system itumike(wanaiamini + ni ya nchi yao).