Natamani Kuhama nchi

Daddo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,435
Reaction score
1,028
Kama Mungu angeniuliza anifanyie nini kwa mwaka huu, ningemuomba alifute shirika la Tanesco! Kuletewa umeme utafikiri unauomba nje ya nchi. Gharama zenyewe kubwa, huduma mbovu halafu hawataki kushughulikia malalamiko ya wateja. Mad!mad! So boring
 
Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Jina uliloombea tafadhali

Tupo kukusikiliza na kukuhudumia mpendwa mteja wetu
 
mleta mada TANESCO wanataka taarifa zako tafadhari... isije ikawa unaishi kwa shemeji yako halafu unapiga bit.
 
Kama Mungu angeniuliza anifanyie nini kwa mwaka huu, ningemuomba alifute shirika la Tanesco! Kuletewa umeme utafikiri unauomba nje ya nchi. Gharama zenyewe kubwa, huduma mbovu halafu hawataki kushughulikia malalamiko ya wateja. Mad!mad! So boring
Wewe hama tu bure kabisa wewe utakuwa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…