Pole pole unaelekea kwenye kutaka kufuga majini....Jamani wana jf naomba ushauri, sijui kama ninamapungufu au vipi... maana katika siku za hivi karibuni nimeingiwa na hali ya kutamani kufuga nyoka hapa nyumbani kwangu, sasa sijui kama ni tatizo au vipi mwenzenu mpaka napata hisia za kuunga urafiki na wadudu hawa hatari.
Jamani wana jf naomba ushauri, sijui kama ninamapungufu au vipi... maana katika siku za hivi karibuni nimeingiwa na hali ya kutamani kufuga nyoka hapa nyumbani kwangu, sasa sijui kama ni tatizo au vipi mwenzenu mpaka napata hisia za kuunga urafiki na wadudu hawa hatari.

Aahaa, we fuga tu ila watakapo kujeruhi siku moja hapo ndio utaju kama una matatizo au vipi!Jamani wana jf naomba ushauri, sijui kama ninamapungufu au vipi... maana katika siku za hivi karibuni nimeingiwa na hali ya kutamani kufuga nyoka hapa nyumbani kwangu, sasa sijui kama ni tatizo au vipi mwenzenu mpaka napata hisia za kuunga urafiki na wadudu hawa hatari.
Jamani wana jf naomba ushauri, sijui kama ninamapungufu au vipi... maana katika siku za hivi karibuni nimeingiwa na hali ya kutamani kufuga nyoka hapa nyumbani kwangu, sasa sijui kama ni tatizo au vipi mwenzenu mpaka napata hisia za kuunga urafiki na wadudu hawa hatari.
Jamani wana jf naomba ushauri, sijui kama ninamapungufu au vipi... maana katika siku za hivi karibuni nimeingiwa na hali ya kutamani kufuga nyoka hapa nyumbani kwangu, sasa sijui kama ni tatizo au vipi mwenzenu mpaka napata hisia za kuunga urafiki na wadudu hawa hatari.
Wala usifuge nyoka,subiri ntakupatia mke wangu ufuge
Unawapenda kivipi? Maana unanitisha ukilinganisha na jukwaa uloweka mh!
Nimekuelewa, ni yule nyoka mwenye JICHO moja, aaagh fuga tu ..............!:love:
Jamani wana jf naomba ushauri, sijui kama ninamapungufu au vipi... maana katika siku za hivi karibuni nimeingiwa na hali ya kutamani kufuga nyoka hapa nyumbani kwangu, sasa sijui kama ni tatizo au vipi mwenzenu mpaka napata hisia za kuunga urafiki na wadudu hawa hatari.
Ufuge nyoka ili iweje!? Mbona kuna wanyama wengi tu wanastahili kufugwa!? Hutaki kuwafuga hao? Cheza mbali na nyoka vinginevyo watakuja kukudhuru wewe mwenyewe au wapendwa wako.