Natamani ili jembe lirudi madarakani

Natamani ili jembe lirudi madarakani

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
Retired-Inspector-General-of-Police-Omar-Mahita-this-time-he-had-to-salute-for-the-cup.jpg


Huyu jamaa alikuwa mpambanaji sana! Natamani arudi madarakani !
 
Arudi na sifa zake zote ama zingine asije nazo?
 
Asirudi bhana maana huyo noma kwa kuzaa na beki tatu. Beki tatu wetu hawatakuwa salama.
 
Hakujua mbinu ya Islamophobia, aliingia msikitini na boots kisa kuiteeteeya ccm
 
Retired-Inspector-General-of-Police-Omar-Mahita-this-time-he-had-to-salute-for-the-cup.jpg


Huyu jamaa alikuwa mpambanaji sana! Natamani arudi madarakani !
LIKUD mwache General Mahita akule bata siku hizi anapigilia tshirt pensi na kubazi
 
Last edited by a moderator:
Huyo mahita Alikuwa bonge la muhuaji na jambazi, arudi kufanya nn?!!!
 
Angekua legelege Zanzibar isingetawalika.
CCM walikua wameshavuruga amani kule Zanzibar Mahita na vijana wake wakishirkiana na JWTZ wakasimama imara kuhakikisha amani haitoweki
 
Back
Top Bottom