mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,439
- 2,918
Ile Sanaa ya kutongoza LIVE kwasasa inaonekana imepitwa na wakati. Kwasababu ya kuwepo Kwa mawasiliano.
Yaani mtu anamwita demu, anaomba namba kisha akipewa anaanza kutongoza Kwa msg..... Ok sio mbaya
Ila nimeanza zoezi la kutongoza bila kuomba namba , yaani unamkazia demu, unamlilia , unampa maneno matamu mpaka mwenyewe anakwambia SAWA KAKA NIMEKUBALI, VIP lakini huna mke?
Ujue hapo ameshakwisha.
Mwisho wa siku yeye ndiye anaomba namba yako sasa.
K....Maaaaa kibuyu.
SEMA NINI
Kutongoza live bwana kuna VIBE lake, ila hakilosha boxer ulovaa ime tight vizuri kbs. Maana mtu unamuimbisha mpaka anajikuta anabana miguu, kuondoka anashindwa.
M.... Make.