Natalia nirudishe UBAHARIA huu. Kuanzia leo

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,439
2,917
Ile Sanaa ya kutongoza LIVE kwasasa inaonekana imepitwa na wakati. Kwasababu ya kuwepo Kwa mawasiliano.

Yaani mtu anamwita demu, anaomba namba kisha akipewa anaanza kutongoza Kwa msg..... Ok sio mbaya

Ila nimeanza zoezi la kutongoza bila kuomba namba , yaani unamkazia demu, unamlilia , unampa maneno matamu mpaka mwenyewe anakwambia SAWA KAKA NIMEKUBALI, VIP lakini huna mke?

Ujue hapo ameshakwisha.

Mwisho wa siku yeye ndiye anaomba namba yako sasa.

K....Maaaaa kibuyu.

SEMA NINI
Kutongoza live bwana kuna VIBE lake, ila hakilosha boxer ulovaa ime tight vizuri kbs. Maana mtu unamuimbisha mpaka anajikuta anabana miguu, kuondoka anashindwa.

M.... Make.
 
ANDAA NA PESA..SIKU HIZI WAMEBADILIKA
 
Madhara ya kutongoza kwa simu ni kupoteza confidence kabisa.

Unakuta unatype maneno ambayo ukiwa live huwezi kuyatamka.

Ukikubaliwa siku ya kwenda kuonana unaona aibu.

Kongole kwa mabaharia waliokuwa wanatongoza live tena china ya mti hadi manzi anabaki kung'ata kucha na kuangalia pembeni..
 
Kutokana na njaa ilivyokuwa kali...hakikisha mfuko uko vizuri,siku hizi hakuna maneno ni pesa tu.
 
Madhara ya kutongoza kwa simu ni kupoteza confidence kabisa.

Unakuta unatype maneno ambayo ukiwa live huwezi kuyatamka.

Ukikubaliwa siku ya kwenda kuonana unaona aibu.

Kongole kwa mabaharia waliokuwa wanatongoza live tena china ya mti hadi manzi anabaki kung'ata kucha na kuangalia pembeni..
Kabisa mkuu
 
Mambo mengi muda hautoshi kutongoza manzi papo kwa papo. Nipatie namba yako ya simu , nitakucheki baadae.
 
Ile Sanaa ya kutongoza LIVE kwasasa inaonekana imepitwa na wakati. Kwasababu ya kuwepo Kwa mawasiliano.

Yaani mtu anamwita demu, anaomba namba kisha akipewa anaanza kutongoza Kwa msg..... Ok sio mbaya

Ila nimeanza zoezi la kutongoza bila kuomba namba , yaani unamkazia demu, unamlilia , unampa maneno matamu mpaka mwenyewe anakwambia SAWA KAKA NIMEKUBALI, VIP lakini huna mke?

Ujue hapo ameshakwisha.

Mwisho wa siku yeye ndiye anaomba namba yako sasa.

K....Maaaaa kibuyu.

SEMA NINI
Kutongoza live bwana kuna VIBE lake, ila hakilosha boxer ulovaa ime tight vizuri kbs. Maana mtu unamuimbisha mpaka anajikuta anabana miguu, kuondoka anashindwa.

M.... Make.
Kuna kijana alikuwa anamtongoza Sana mamito kila akipita anayumbisha sasa siku moja hamadiiii mm huyu hapa

Nikamwambia unataka kuhama mji akajibu hapa.

Nikamwambia mke wa mtu sumu nikasepa

Jamaa akawa hakomi akawa anaendelea tu siku akajaa Tena nikatia kamba vijana wangu wawili tukachukua KY hakufanywa kitu kibaya Ila alipakwa mafuta vizur tu na tupicha kadhaaa tukamwambia nenda

Mpaka leo hii hayupo mtaani inasemekana Yuko kanda ya ziwa hatak kurudi mjini daaadek zakeee

Alitaka jifunza tongoza kwa mamito
 
Mkeo alishindwa kumuondosha?

Au she was enjoying the attention?

Back
Top Bottom