mohamed habibu
Member
- Jun 16, 2019
- 28
- 14
Kwa majina naitwa MOHAMED HABIBU MOHAMED ni mkazi wa mkoa wa DoDoma,umri wangu miaka 25 mwenye elimi ya kidato cha nne (4).
Nina nina fani ya udereva pia ni mzoefu usio pungua maika 3 ya kuendesha gari kuanzia robo ¾ tani mpaka tani 3½.
Nina uzoefu wa kuuza duka la aina yoyote isipo kuwa duka la dawa maan sio fani yangu,nina ujuzi wa kuwa store keeper.
Niko tayari kufanya kazi ambayo ni halali ili nijiongezee kipato.Kwa yoyote alie naomba tuwasiliane kwa namb
0622 94 1452 au 0719 01 3003 pia kupitia email mohamedhabibu075@gmail.com