Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,950
- 168,805
Asee!!!una hela na umekosa mwanamke?
huwezi kuwa serious asee mi najua ukiwa na hela wanawake wanakufata fata kama nyuki kwenye maua
Acha udomo zege wa bavicha wa kushangilia na kudekia barabara mafisadi.
Wanawake ni Wengi Sana kila siku wanahudhuria maombi wamekosa wachumba.
Jambo gani mpendwaMh!....kuna jambo
Mwnye macho haambiwi tazamaJambo gani mpendwa
Haya,shukran.Mwnye macho haambiwi tazama
Asante kwa kushukuru shemejiHaya,shukran.
Mimi sina pesa mapenzi ya ukweli na cucumber tu nitapata kweli???una hela na umekosa mwanamke?
huwezi kuwa serious asee mi najua ukiwa na hela wanawake wanakufata fata kama nyuki kwenye maua
Acha woga. Pambana mkuu huwezi kukosa. Hata humu JF wapo. Muulize The boldWakuu,
.............................................................................................................
Ni kitu kinauma sana pale unapokosa unachokihitaji katika maisha, nawashauri wale wenye wapenzi wao wenye malengo katika maisha washikamane maana muda utapomkosa utajiona hu mpweke dunia nzima.