Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,435
- 133,879
Duh...!, kumbe ni wewe!. Ama mrudishe Magufuli wetu ama na wewe utamfuata!.Na alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
Still we can't touch uSee!!
I knew it!
Huwezi kujadiliana nami kwa facts.
Na ndo maana umekula kona baada ya kukuuomba unitajie mada zangu 5 ninazompinga Magufuli.
Wewe na nyumbu wenzio mnachoweza ni kurusha maneno ya hisia na masadikiko tu.
Mkija kwenye mambo ya ukweli, hamna lolote.
I’m levels above y’all. Can’t touch me. Can’t catch me.
Dumb ass wildebeests.
Na alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
Duh...!, kumbe ni wewe!. Ama mrudishe Magufuli wetu ama na wewe utamfuata!.
P
mkuu uko wapi huko uliko??Na alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
Vipi tena unabeba vifaranga vya kuku hadi jukwaani.Kwio
Ukiona hivyo ujue kawaumiza watu wengi mtaani .Huyu ndo Rais alieombewa kifo na watu wengi Sana hapa Jf Hadi kimetokea
Aisee
Muda wa kutafuta chawa mpyaDuh...!, kumbe ni wewe!. Ama mrudishe Magufuli wetu ama na wewe utamfuata!.
P
Yaani JF kuna mambo ona hadi Malaika mtoa roho anatumia ID fake 🤣🤣Na alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
Acha kutisha watu we MzeeDuh...!, kumbe ni wewe!. Ama mrudishe Magufuli wetu ama na wewe utamfuata!.
P
Hata akimfuata, yeye hana damu za watu wasio na hatia mikononi mwakeDuh...!, kumbe ni wewe!. Ama mrudishe Magufuli wetu ama na wewe utamfuata!.
P
Wewe jamaa huu utabiri vepe!? Nakujia inbox aisee. kimsboyNa alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
Na alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
Yaani JF kuna mambo ona hadi Malaika mtoa roho anatumia ID fake [emoji1787][emoji1787]
Wewe ni nomaNa alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
Maneno kumbe yanaumbae!Na alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
Nyani Ngabu, enzi zake😅😅😅Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tNgabmekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.
Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo yajayo kuhusu uminywaji wa hii mitandao na haki ya watu kuitumia kwa kujieleza, kutoa maoni, na kuikosoa serikali.
Sasa kitendo kilichotokea jana cha kukamatwa kwa Maxence kimethibitisha kuwa huu utawala wa Magufuli umeazimia kutuziba midomo kwa kutumia mabavu ya dola.
Kwa hilo mimi nataka huyo Magufuli ashindwe na alegee kabisa. Sitaki kabisa afanikiwe hata kidogo na watu wote wenye akili zao timamu hawana budi kumpinga na kuifanya hiyo azma yake iwe muhali.
Kupinga udhalimu ni jambo la adhama. Na huyu mtu tayari keshaonyesha dalili zote za udikteta. Hivyo tumpinge kwa pumzi na nguvu zetu zote. Kwanza ni mtumishi wetu na si vinginevyo.
Hizi siyo zama za kupelekeshana kwa vitisho. Haogopwi mtu zama hizi.
Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa Rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha Rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje.
Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Kwa hiyo mimi nataka ashindwe. Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?
Na alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi