nataka niwe no 4 nifanyeje?

nataka niwe no 4 nifanyeje?

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,626
Girl%E2%80%99s-Logic-In-Body-Size.jpg
 
Kwani kwa sasa uko namba ngapi Smile
 
Last edited by a moderator:
Tatizo 4 haiji kama kwenye picha, Ze hips is kuongezeka sambamba na ze pingiri n nyama uzembering za tumbos na konos. Ukitaka kubali yote! La! Uonane na Chung Chi Tao
 
Aisee mshikyi mbona kwenye avatar yako unaonekana namba 4 tayari bhana!!, au wataka kupunguza bell kidogo! Nina series nyingi nzuri (indoor) za kushape mwili (mazoezi). kuongeza sina wala sijui, ila mwili through mazoezi waweza kuushape utakavyo.
 
nina tumbo kubwa ..nitumie hizo series bana nitoke..mwanamke shepu babub sura hata mbuzi anayo
 
Tatizo 4 haiji kama kwenye picha, Ze hips is kuongezeka sambamba na ze pingiri n nyama uzembering za tumbos na konos. Ukitaka kubali yote! La! Uonane na Chung Chi Tao

hivi nikitaka kutoa manyama uzembe yanaondoka na hips? haya mavitu yapo directly inversely na hips?
 
Smile mbona ni rahisi sana:

  1. Angalia katika table ya Body Matrix Index, BMI yako ikoje, then utajua kama wewe ni undeweight, au normal, au overweight au Obesity
  2. Pili pima % yako ya fat pia utajua kama mafuta uliyonayo mwili yako juu ya kiwango au la
  3. Ukishajua 1 na 2 utajua upunguze uzito kiasi gani
  4. Ukishajua fanya diet plan ya kukata uzito. Kwa ulimwengu wa sasa ni rahisi sana kuliko maelezezo: You simply use "High Thermic Effect Food". Hii ni kiboko ya kutoa mafuta mwili na kutoa kitambi na nyama uzembe
  5. sambamba na hilo, ukitaka shape kama na 4 uliyosema ambayo kimsing ni "Pear" au "Hourly Glass" au "Namba 8", inabidi uhakikishe una "flat stombach" na "Wide Hips", hilo pia linawezekana, fanya mazoezi ya sit ups ambayo yatakaza misuli ya tumbo na kuondoa kitambi kabisa na nyama uzembe. Pia mazoezi ya Anaerobic na Aerobic yanafaa kwa ajili ya kubalance misuli na mafuta

NB: Hips kubwa sometimes ni Genes. Kama kwenu hakuna ni hakuna tu, unaweza ukawa ulala Gym lakini kama wewe ni namba 9, ukakuta unabaki nayo hiyo hiyo.

Kwa maelezo ya ziada ni PM.

QED
 
Last edited by a moderator:
aahahahahahahahahahahhah

Nakushauri ubaki hivyo hivyo namba sita, ukiwa namba 4 + kupika bila chupi itakuwa balaaaaaa
 
Namba tatu ni nzuri nne itakuja ukipata tatu

Istoshe mi napenda tu!! Si ndo Neema za allah
 
Back
Top Bottom