Nataka niufanyie cover (remix) huu wimbo

Nataka niufanyie cover (remix) huu wimbo

Kichenza

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2018
Posts
222
Reaction score
243
Mimi ni msanii Sasa basi huu wimbo nimeuskia ukipigwa kwenye redio dakika ambazo nahisi tiyar walishataja jina lake., na nimetokea Kuupenda. Sasa nataka niufanyie cover tatzo cjui nyimbo inaitwaje na msanii ni Nani Nyimbo inaimbwa Hivi
ooo Kuna watu na viatu duniani ooo Kuna watu wasiopendaaa maendeleo alafu inasema ivi juzi juzi nlipata kazi nzuri nkaja kukueleza sura umeikunja ukarusha mikono kumbe ilikuwa hatia mimi kuja kukueleza
 
Back
Top Bottom