ze future
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 204
- 300
Habari yako, husika na kichwa cha habari hapo juu.
Ni muda sasa wa zaidi ya wiki mbili nimekuwa nikitafakari juu ya kutaka kuondoka hapa DSM na kurudi kijijini mkoani Iringa. Hapa mjini nilikuja kwaajili ya masomo nikafikia kwa mama mdogo na sasa nimeshamaliza tayari masomo.
Nimekuwa nikifikiria sana kurudi kijijini nikajaribu maisha kule japokuwa taaluma niliyoisomea haiendani kabisa na maisha ya kule.